mkuu mimi ni mojawapo wa walioletwa na lowasa! jamaa ametutosa hapa nimefika maktopora nachanja kwa mguu kurudi kahama!Wale watu walioletwa na Lowassa Dodoma,wataweza kumfuata Ili awape nauli za kuwaludisha makwao?,daah wengi itakula kwao..
Sasa kama siyo huyu Jaji kuchukua fomu ya urais kupitia ccm tungejua lini kwamba kuna majaji wa Mahakama kuu na Mahakama ya rufani ambao ni makada wa ccm?!
Huo ulikuwa mpango wa Mungu kutupa ushahidi kuwa Mahakama ina makada wa chama chakavu, haki imewekwa rehani.
Sisi wengine hatufahamu vizuri tufahamisheni rais bora anatoka kwenye mfumo upi wa chama kipi?
Kwa kuwa tunaye striker Magufuli...hakuna goli la mkono hapo...sikilizieni mkwaju tena kutokea nje ya 18 kimo cha mbuzi mithili ya Sunday Oliseh enzizake miaka ya 90
ha ha ha mzee wa" tutaheshimiana tu" chalii kama namuona na scalf yake ya Tanzania
Mkuu nikumbushe,hivi malechera Samwel alivyoteuliwa Kuwa waziri Mkuu na Mzee Mwinyi alikuwa mbunge wa jimbo gani vile?au katiba imebadirishwa?
Kwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia
Una akili iliyojaa matope!!Kwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia
Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!
WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
humjui kikwete vizuri wewe. ukitaka kujua undani wa Kikwete waulize sitta, rostam na lowassa. hao wameonja ladha ya jamaa. namshangaa hata lowasa manguvu aliyotumia badala ya kwenda mdogo mdogo.
hao akina kimbi/kofia/chambisa walikuwa wanamuonesha bosi wao kuwa hela aliyewapa wameitendea haki. ndo maana hawakuwa na jinsi zaidi ya kwenda front kwenye media angalau kumuonesha walifurahi pamoja na sasa wanahuzunika pamoja pia. wanasiasa hao, elewa hilo.
siamini haya maneno yako. Kikwete ni mtu wa ajabu sana. hata lowasa haamini kilichotokea. sioni cha ajabu kwa membe maana lowasa wametoka naye mbali.Mkuu ni zaidi ya hapo kama hujui! Sasa hivi kuna msiba ktika kambi ya mtu wa kusini na hii inakwenda ndani mpaka omukikale! Sorry for using this word!
Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!
Nadhani ulikua na maana ya mgombea binafsi.
Wale watu walioletwa na Lowassa Dodoma,wataweza kumfuata Ili awape nauli za kuwaludisha makwao?,daah wengi itakula kwao..
Swali zuri sana kwani kulikuwa na habari za uhakika kuwa ''aliombwa na kuombwa'' kuchukuwa fomu, akawa amekataa lakini baadae akakubali. Kuna wanaosema alitumiwa kama ''psychological relief'' ili Lowassa atakapoondolewa asijisikie vibaya sana kwani atakuwa anajiliwaliza kwa ''jaji mzima na heshima'' zake kuondolewa sembuse yeye. Na kuna wengine wanaosema ilikuwa ni project ya Kikwete ya kumweka mtu anayetamani sana amfanye rais wa Tanzania -- Asha Rose Migiro. Angefanikisha kwa kumpa Jaji urais wa miaka mitano kwa ahadi kuwa akitoka (2020) atamwachia Migiro. Na kuna wanaosema ilikuwa ni chaguo la system lakini ikaonekana itakuwa ngumu kumuuza... Ukweli ni upi?Huyu mtu ameihujumu taasi ya sheria pamoja na kada yake yote. Kuwa jaji mkuu ni jambo ni heshima kubwa inayokupasa kutojihusisha na siasa za wazi kama huyu ndugu alizozifanya.