Ramadhan Kimbeiye
Senior Member
- Aug 28, 2013
- 114
- 50
Atapewa ubunge na Mzanzibar mwenzie 'Mh. Rais mtarajiwa mama Amina' kama alivyopewa ubunge Muhongo kisha akateuliwa kuwa wazir wa nishati na madini, naye Jaji atakuw PM kwa njia hiyo.Atagombea jimbo gani?
Ni kujidaganya tu kuwa ni jembe. Ndani ya mfumo ule ule sitegemei mabadiliko mapya. Ka miaka hamsini yale Yale tu. Tatizo hapa sio mchapa kazi ni mfumo wa kufuata chama na sio matakwa ya wananchiJamani watz tustegemee kupata rais bora kupitia mfumo ccm.ni ndoto za mchana.
Atapewa ubunge na Mzanzibar mwenzie 'Mh. Rais mtarajiwa mama Amina' kama alivyopewa ubunge Muhongo kisha akateuliwa kuwa wazir wa nishati na madini, naye Jaji atakuw PM kwa njia hiyo.
Sisi wengine hatufahamu vizuri tufahamisheni rais bora anatoka kwenye mfumo upi wa chama kipi?Ni kujidaganya tu kuwa ni jembe. Ndani ya mfumo ule ule sitegemei mabadiliko mapya. Ka miaka hamsini yale Yale tu. Tatizo hapa sio mchapa kazi ni mfumo wa kufuata chama na sio matakwa ya wananchi
Anakuwaje waziri mkuu wakati sio mbunge au unaropoka tu
Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!
ndokom yenyewe salamadalmiaametumika kama ndokomu yeye na makochali.
Atapewa ubunge na Mzanzibar mwenzie 'Mh. Rais mtarajiwa mama Amina' kama alivyopewa ubunge Muhongo kisha akateuliwa kuwa wazir wa nishati na madini, naye Jaji atakuw PM kwa njia hiyo.
Raisi bora ni yule anayetoka kwenye mfumo imara wenye kusikiliza wananchi wanataka nini na sio kuangalia masilahi ya chama au watu wachache kwa faida binafsi na na sio national interest.Sisi wengine hatufahamu vizuri tufahamisheni rais bora anatoka kwenye mfumo upi wa chama kipi?
Mmh, haya,,Kwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia
Mkuu nikumbushe,hivi malechera Samwel alivyoteuliwa Kuwa waziri Mkuu na Mzee Mwinyi alikuwa mbunge wa jimbo gani vile?au katiba imebadirishwa?Atagombea jimbo gani?
Watanzania bhana. . . . . . Yaani mnachangia as if mnajua kwa uhakika "motive behind" yeye kuingia mule
ccm will remain in its current state of ufisadi na kukumbatia masilahi ya wachache.......Everything will remain in its state of rest or uniform motion unless an external force act on it.Sisi wengine hatufahamu vizuri tufahamisheni rais bora anatoka kwenye mfumo upi wa chama kipi?