Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
mkuu kwani baada ya hapo si unafuata uchaguzi mkuu sasa unaposema huyu ndo waziri mkuu mbona hueleweki ebu fafanua tafadhali
kumbuka pm lazima awe mbunge wa jimbo? Sasa sijui ataenda jimbo gani?Kwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia
uchaguzi bado haujafanyika kiongoziAnakuwaje waziri mkuu wakati sio mbunge au unaropoka tu
Kikwete ni mtu kigeugeu sana na muongo muongo wa kutupwa
kumbuka pm lazima awe mbunge wa jimbo? Sasa sijui ataenda jimbo gani?
uchaguzi bado haujafanyika kiongozi
Yaani huyo jaji nime mdelete katika mind yangu kabisa wala sikutegemea kama angechukua fomu na hii inatuonesha kuwa kupata tume huru ya uchaguzi ni ndoto ni sawasawa na kuona jasho la kuku ,kwa sababu kama jaji ana kadi ya ccm Lubuva wa NEC anakosaje?Msajili wa vyama anakosaje kadi ya ccm, na wengineo mkuu wa polisi ccm sasa hapo watashindwa kufunga goli la mkono kweli?
Huyu alitakiwa azame hata mapema zaidi ya hapo. Alichakachua hukumu ya mgombea binafsi na hii dhambi bado itaendelea kumtafuna!Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!
kikwete ni mtu kigeugeu sana na muongo muongo wa kutupwa
Ila CCM kiboko! yaani nashangaa kuwaingiza wale wanawake kwenye tatu bora wakati wanajua kabisa kwamba wana vigezo hafifu na hawauziki kabisa kama mkaa wa mtwara. Ni kama wameingizwa kwenye maigizo fulani bila wao kujua, kama huyo migiro hata UN alishindwa kazi halafu eti ndio leo aonekane anakubalika kugombea nafasi ya juu kabisa ya nchi! Hata wenzetu watatucheka sana.
Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!
He does nog qualify - he is from Zanzibar. Kumbuka waziri mkuu anaongoza mambo mengi ya Tanzania bara...serikali za mitaaKwa taarifa yenu huyo ndo waziri mkuu wa serikali ijayo amini nakwambia