adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,947
- 5,396
Huenda Jaja wa Yanga asiichezee timu hiyo msimu huu. Hii inatokana na klabu yake huko brazil kugoma kutoa ITC yake kwa madai ya kutaka pesa ya uhamisho kiasi cha dola laki 3. Pesa ambayo inasemekana yanga kushindwa kuilipa.
Inasemekana pia okwi ambaye alikuwa anafikiriwa kuachwa huenda akalipwa pesa anazodai na kuchukua nafasi ya jaja.
Inasemekana pia okwi ambaye alikuwa anafikiriwa kuachwa huenda akalipwa pesa anazodai na kuchukua nafasi ya jaja.