Jairo la Kuvunda halina ubani

kazi ipo,watabebana weeeeeeeeeeeeee,lakini mwisho wa siku ukweli utajulikana tu
<br />
<br />
mbeleko yenyewe imeshaoza, inakatika na aliyebebwa anaanguka. aliyebeba anasubiri adhabu.
 
Kamati teule imeanza kuwahoji mashahidi tangu jana. Tunaitaka ifanye kazi vizuri na itoe taarifa yake bila kumuonea mtu na iwe ya haki.
 

Hapo penye red....100%
 
Itapendeza kama Baraza la kiswahili likikubali kupitisha MSAMIATI MPYA

JAIRO--Mtu yeyote anayechangisha pesa wakati wa bunge ili kuhonga wabunge wapitishe bajeti.
Nawasilisha
 
Nalipongeza gazeti hili kwa kufanya utafiti huu kwani usingewekwa hadharani kuna uwezekano wa tume kufichwa ukweli au kufinyanga taarifa ili kumsafisha. Kwa kweli vyombo vya habari

Pongezi kubwa sana vyombo vya habari kuibua haya waliyoendelea kuyaweka mafichoni ili kutuhadaa kwa kutakasana kwenye vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…