Jairo kumvaa Mwigulu Iramba

Jairo kumvaa Mwigulu Iramba

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,158
Reaction score
162,578
Aliekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,David Jairo, achukua form kugombea ubunge jimbo la Iramba Jimbo linaloshikiliwa na Mwigulu Nchemba kwa sasa.

Chanzo:TanzaniaDaima
 
Mmmh misimamo yake inaweza kuwa inaanza kumgharimu. . . . .
 
Inaelekea wazee wa vitengo huwa wanaota sana ubunge! Kuna hatari Safari ya Migulu huko mbeleni ina mashaka
ukiona watu wa kitengo wanatishia nyau ujuwe ndo kumekwisha hivyo!
 
OLESAIDIMU wewe ni moja ya wanajamii wa JF wenye mawazo na michango ninayoikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini hili la kusema eti Mwingulu anaponzwa na misimamo yake sikubaliani nalo. Mwingulu hana msimamo wa aina yoyote ambao ni positive kwa nchi yetu. Ni msanii asiyetumia maarifa na aliyeona uchaguzi unakaribia akajifanya kubadilika na kuwa upande wa wananchi. Na kama huyu Jairo amechukua fomu na akiweza kumwangusha Mwingulu basi nitafurahi sana (sio kwa sababu ni mtu mzuri) bali nataka Mwingulu aone makosa ya kutumika kuzima ukweli kuhusu uchafu uliokuwa unafanywa na utawala.
 
BTW kulikuwa na tetesi kuwa Mwingulu alikuwa plan B ya Lowassa, kuna ukweli gani kuhusu hili
 
OLESAIDIMU wewe ni moja ya wanajamii wa JF wenye mawazo na michango ninayoikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini hili la kusema eti Mwingulu anaponzwa na misimamo yake sikubaliani nalo. Mwingulu hana msimamo wa aina yoyote ambao ni positive kwa nchi yetu. Ni msanii asiyetumia maarifa na aliyeona uchaguzi unakaribia akajifanya kubadilika na kuwa upande wa wananchi. Na kama huyu Jairo amechukua fomu na akiweza kumwangusha Mwingulu basi nitafurahi sana (sio kwa sababu ni mtu mzuri) bali nataka Mwingulu aone makosa ya kutumika kuzima ukweli kuhusu uchafu uliokuwa unafanywa na utawala.
Nashukuru, uko na haki ya hayo uliyoyasema ila ukimuangalia utaona kuna kipindi husema yale yasiyopendwa na wenyewe. . . . .Kama kwa usanii au huwa anamaanisha sina uhakika juu ya hilo ila tujipe muda
 
Mwambieni mwigulu afute mabango yote aliyo yaandika nchi nzima.
 
Kumbukumbu inaonyesha Iramba Magharibi wabunge hutumikia jimbo msimu mmoja tu, Ngoja tuone mtanange huu, Mwigulu huwa na msemo kuwa "mto umejaa kwa sasa" anayetaka kuuvuka awe makini. Kwamba aliweza kupata ubunge akiwa hana "kitu". Vipi kwa sasa akiwa na kitu? (Hasa ikizingatiwa mchezo wa chama na wanachama kuamini ktk pesa ktk chaguzi za ndani na nje)
 
Inaelekea wazee wa vitengo huwa wanaota sana ubunge! Kuna hatari Safari ya Migulu huko mbeleni ina mashaka
ukiona watu wa kitengo wanatishia nyau ujuwe ndo kumekwisha hivyo!
kama ccm walivyojisahau na chama kikaangukia kwa wabeba mabegi ya pesa (722m) inawezekana na kitengo kakaangukia mikononi mwa watu ambao sio kinyume na malengo.
Niliwahi kusikia mtu akisema kuwa huyu bwana ni mjomba wake na prince sasa sikujua kama anatokea katika pande hii ya nchi ambapo hata incumbent DNA zake zinaongelewa ongelewa mtaani!
 
OLESAIDIMU wewe ni moja ya wanajamii wa JF wenye mawazo na michango ninayoikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini hili la kusema eti Mwingulu anaponzwa na misimamo yake sikubaliani nalo. Mwingulu hana msimamo wa aina yoyote ambao ni positive kwa nchi yetu. Ni msanii asiyetumia maarifa na aliyeona uchaguzi unakaribia akajifanya kubadilika na kuwa upande wa wananchi. Na kama huyu Jairo amechukua fomu na akiweza kumwangusha Mwingulu basi nitafurahi sana (sio kwa sababu ni mtu mzuri) bali nataka Mwingulu aone makosa ya kutumika kuzima ukweli kuhusu uchafu uliokuwa unafanywa na utawala.

Huo usanii wake ameufanya vibaya kwa kuiponda serekali katika hotuba yake ya kutia nia na mavipindi redioni. Naamini mpinzani wake atasaidiwa na system ili magufuli atoswe na hili linawezekana ,alifanya ujinga pia kujiuzulu nafasi ya unaibu kwenye chama
 
Aliekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,David Jairo, achukua form kugombea ubunge jimbo la Iramba Jimbo linaloshikiliwa na Mwigulu Nchemba kwa sasa.

Chanzo:TanzaniaDaima

mbona iko wazi sana , mtu aliyekuwa msaidizi wa kinana kulimwa na kamati ya maadili maana yake hafai , sema ndugu jairo kabla hajarudisha fomu atufafanulie ziliko zile hela alizochangisha .
 
Back
Top Bottom