Jairo kumvaa Mwigulu Iramba

Jairo kumvaa Mwigulu Iramba

mbona iko wazi sana , mtu aliyekuwa msaidizi wa kinana kulimwa na kamati ya maadili maana yake hafai , sema ndugu jairo kabla hajarudisha fomu atufafanulie ziliko zile hela alizochangisha .

Iramba ni ya Nchemba,kijana wa mabadiliko ni vitendo,tunaimani nae na ndo hadhina ya ccm miaka ijayo
 
Back
Top Bottom