Mbona barua haisemi hiyo hela ni kwa ajili ya kuhongea wabunge? naona tu hapo anaeleza kwamba maafisa wa wizara watakuwa Dodoma kwa ajili ya kutoa ufafanuzi. Labda hiyo hela ilikuwa ni kwaajili ya hao maafisa wa wizara?
Halafu cha pili anasema kama ilivyo kawaida. So ina maana hili ni jambo ambalo huwa linafanyika kila mwaka!! So why do we blame him. Nafikiri ndiyo maana hata Kikwete ameshindwa kutoa maamuzi katika hilo. The only solution here, wabunge wa upinzani waibue move ya kutokuwa na imani na serikali. Maana kwa barua hii, ni dhahiri kwamba serikali nzima ndiyo ipo hivyo. Ipigwe kura ya kutokuwa na imani na serikali iliyopo madarakani full stop!!