Dear members nina iphone4 version 4.3.5 nataka kui-jailbreak..kuna anaejua fundi gani mzuri hapa dar wa kufanya hii kazi?. Pia nimesikia hiyo version ukijailbreak simu ikizima lazima uiwashe kwa computer..any advice jamani