Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
Huyo jafo kashachoka ubunge wa kisalawe amuulize janguo.
kuna mchezo tunachezewa hapa ili hili suala lipotezewe. Kwa nini wanaviziana? Kwani jafo wenzake si ndo waandaaji wa hiyo sera?

Habarindiyohiyo said:Jemadari wa CCM Selaman Jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete Mnyika...
Kufuatia hatua hiyo ya Mnyika, Kamanda Jafo alirejea...
Kamanda Jafo alipewa fursa ya kuwasilisha maelezo binafsi na...
Siku moja baada ya Kamanda Jafo kuwasilisha maelezo yake Waziri wa Kazi...
Siku chache baada ya Mnyika kutoa kauli hiyo Jemedari Jafo kwa mara nyingine tena alimpiku...
Kamanda Jafo amewaeleza waandishi wa habari kwamba Mnyika anadandia hoja yake...
Mheshimiwa Jafo ameeleza...na kumkanya Mnyika aache tabia ya kudandia hoja kwa mbele.

Degree ya chu.piJafo kinyozi pale hostel 3 USA...hhaaaaaa GPA ya 2.9 .....kazi ipo
kuna mchezo tunachezewa hapa ili hili suala lipotezewe. Kwa nini wanaviziana? Kwani jafo wenzake si ndo waandaaji wa hiyo sera?
Huyu Jaffo ndiye anasababisha haya mambo ya fail kila yakiwakilishwa sababu anatoa hoja dhaifu dhaifu,angemuachia huu mpira Mnyika kwani ni expert,sasa yeye anajifanya heti kuwahi kupeleka ili suala alafu anaweka hoja na arguments za chekechea si anazidi kuwaharibia wafanyakazi,mimi nashauri aondoe ya kwake ampishe fighter Mnyika aokoe jahazi.Sisi wafanyakazi hatuna imani naye kabisa,kama yuko sincere basi kwenye hoja alizopeleka aongeze kipengere kuwa endapo bunge halikubali kubadilisha kipengele hicho basi na mafao ya wabunge yapitie NSSF na mbunge anapomaliza ternure yake basi asilipwe hadi afikishe umri wa NSSF wa miaka 60.Jamaa anatoka 2015 makamanda tunajiandaa kuchukua jimbo la kisarawe
Mkuu, CCM wamezoea maigizo sana....nchi hii haitaki maigizo.Hebu pitia approach ya Jafo mwanzoni (rangi nyekundu), then pitia approach ya Mnyika (Rangi ya bluu), alafu angalia conclusion (palipokuzwa na kuwa bolded), alafu tuangalie ni nani kati ya hawa wawili alikuwa na right approach from the beginning, na kisha ujiulizwe nani kadandia 'approach' ya mwenzake...
Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa
Jemadari wa CCM Selaman Jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete Mnyika wa CHADEMA kwa kuwasilisha muswada kuhusu fao la kujitoa kwa hati ya dharura. Awali Jafo katika mkutano uliopita wa bunge aliomba muongozo wa Spika kuhusu malalamiko ya wafanyakazi kufuatia kuondolewa kwa fao la kujitoa na kupewa nafasi na bunge ya kuzunguka kukusanya maoni kwa ajili ya kuwasilisha hoja binafsi.
Wakati Jafo akizunguka kukusanya maoni ratiba ya bunge ilibadilishwa na hoja binafsi za wabunge kuondolewa hali iliyomfanya Mnyika kuomba muongozo mwingine wa kutaka ratiba irekebishwe kuruhusu kuwasilishwa kwa muswada binafsi kwa hati ya dharura kufanya marekebisho katika mkutano wa nane wa bunge.
Pamoja na muongozo huo Mnyika alifanya mkutano na waandishi wa habari Dodoma na kueleza kwamba Serikali na Uongozi wa Bunge wameshawaacha solemba wafanyakazi kwa kuwa suala hilo limeondolewa kwenye ratiba na pia hata kama ikiwa kwenye ratiba ya bunge hoja binafsi haiwezi kuwa suluhisho la haraka kwa kuwa inategemea utayari wa serikali kutekeleza maazimio ya bunge.
Mnyika alidai kuwa badala ya hoja binafsi kuwasilishwa na Jafo kushughulikia matokeo kwa kuwa chanzo ni sheria uwasilishwe muswada binafsi wa sheria kwa hati ya dharura ama na serikali, au kamati au mbunge yoyote kurekebisha hali hiyo na kueleza kusudio lake kufanya hivyo.Kufuatia hatua hiyo ya Mnyika, Kamanda Jafo alirejea haraka kutoka migodini na kufanya mkutano na waandishi wa habari kueleza kuwa tayari uongozi wa bunge umemhakikishia kuwa atapewa nafasi ya kuwasilisha hoja binafsi hata kama haiku kwenye ratiba hivyo hakuna sababu ya Mnyika kupewa nafasi ya kuwasilisha muswada binafsi wa sheria.
Ili kuepusha Bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira isikwamishwe na wabunge kutokana na mgogoro wa fao la kujitoa, na kwa kuwa hoja binafsi za wabunge huwasilishwa mwishoni mwa mkutano wa bunge baada ya hoja za serikali na hoja hizo kwa mkutano uliopita ziliondolewa kwenye ratiba; Kamanda Jafo alipewa fursa ya kuwasilisha maelezo binafsi na Spika kuagiza kwamba Waziri katika hotuba ya bajeti ya Wizara yake azungumze pia maelezo hayo kesho yake.
Spika alichukua hatua hiyo kwa kuzingatia kuwa kwa mujibu wa kanuni za Bunge maelezo binafsi hayapaswi kujibiwa wala hayajadiliwi na bunge kwa ajili ya kupitisha maazimio. Katika maelezo yake binafsi Jafo alitaka Serikali ikubali kuwasilisha muswada binafsi katika Mkutano wa Bunge wa tisa wa Bunge.Siku moja baada ya Kamanda Jafo kuwasilisha maelezo yake Waziri wa Kazi na Ajira alitoa hotuba na kukubaliana na maelezo hayo na kuahidi Serikali kuwasilisha muswada kwa hati ya dharura katika mkutano wa tisa wa Bunge uliopangwa kuanza 30 Oktoba 2012. Baada ya majibu hayo ya serikali, Spika alihoji wabunge iwapo wanakubaliana na swala hilo na wabunge wengi wakaitikia kukubali.
Hata hivyo, Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha bajeti ya Wizara hiyo Jafo aliipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yake yake huku Mnyika akitaka bado Serikali itoe maelekezo ya kisera ya kutengua tangazo la SSRA ya kusitisha fao la kujitoa ili utaratibu wa zamani uendelee kuwepo mpaka pale muswada wa sheria kwa hati ya dharura utakapowasilishwa kwa kuzingatia kuwa hakuna kanuni iliyotungwa kufuatia marekebisho ya tarehe 13 Aprili 2012 na pia marekebisho hayo juu ya fao la kujitoa yalihusu mfuko mmoja tu wa PPF.
Waziri Kabaka alimjibu kuwa Serikali itatoa muongozo na toka kuisha kwa mkutano huo wa bunge Mnyika amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akiendelea kutaka Waziri kutoa maelekezo ya kuwezesha fao la kujitoa kurejeshwa huku Jafo akizungumza na vyombo vya habari kuipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kukubaliana na hoja yake binafsi na hivyo mgogoro huo kupata ufumbuzi.
Mwanzoni mwa wiki hii Mnyika amenukuliwa tena na vyombo vya habari akieleza kwamba amewasilisha kusudio la kuwasilisha muswada binafsi kwa hati ya dharura kama alivyofanya awali baada ya Serikali kuonyesha kutoka na dhamira ya kuwasilisha muswada huo kwa hati ya dharura kwenye mkutano wa tisa wa bunge pamoja na kuahidi hivyo bungeni.
Siku chache baada ya Mnyika kutoa kauli hiyo Jemedari Jafo kwa mara nyingine tena alimpiku kwa kueleza kuwa mara baada ya kusudio lake yeye amekwenda kwa katibu wa bunge na kuwasilisha muswada huo kwa hati ya dharura. Kamanda Jafo amewaeleza waandishi wa habari kwamba Mnyika anadandia hoja yake na kwamba ni yeye anayepaswa kuwasilisha muswada binafsi bungeni.
Kwa mujibu wa habari ya gazeti la Uhuru la leo lenye kichwa cha habari Mnyika aumbuka, adaiwa kudandia hoja Mheshimiwa Jafo ameeleza kwamba tayari amepata saini kutoka wabunge kumi wa CCM ili kujiandaa kuwasilisha muswada huo na kumkanya Mnyika aache tabia ya kudandia hoja kwa mbele. CCM imetoa pongezi kwa Jafo ambaye zaidi ya hoja binafsi amechukua suala la muswada binafsi la Mnyika na kulifanyia kazi ikiwa ni ushahidi wa kuwa mbunge wa chama kinachojali maslahi ya wafanyakazi.
.....ndiyohiyo

jafo wa ccm ampiku tena mnyika wa chadema muswada fao la kujitoa
jemadari wa ccm selaman jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete mnyika wa chadema kwa kuwasilisha muswada kuhusu fao la kujitoa kwa hati ya dharura. Awali jafo katika mkutano uliopita wa bunge aliomba muongozo wa spika kuhusu malalamiko ya wafanyakazi kufuatia kuondolewa kwa fao la kujitoa na kupewa nafasi na bunge ya kuzunguka kukusanya maoni kwa ajili ya kuwasilisha hoja binafsi.
Wakati jafo akizunguka kukusanya maoni ratiba ya bunge ilibadilishwa na hoja binafsi za wabunge kuondolewa hali iliyomfanya mnyika kuomba muongozo mwingine wa kutaka ratiba irekebishwe kuruhusu kuwasilishwa kwa muswada binafsi kwa hati ya dharura kufanya marekebisho katika mkutano wa nane wa bunge.
Pamoja na muongozo huo mnyika alifanya mkutano na waandishi wa habari dodoma na kueleza kwamba serikali na uongozi wa bunge wameshawaacha solemba wafanyakazi kwa kuwa suala hilo limeondolewa kwenye ratiba na pia hata kama ikiwa kwenye ratiba ya bunge hoja binafsi haiwezi kuwa suluhisho la haraka kwa kuwa inategemea utayari wa serikali kutekeleza maazimio ya bunge.
Mnyika alidai kuwa badala ya hoja binafsi kuwasilishwa na jafo kushughulikia matokeo kwa kuwa chanzo ni sheria uwasilishwe muswada binafsi wa sheria kwa hati ya dharura ama na serikali, au kamati au mbunge yoyote kurekebisha hali hiyo na kueleza kusudio lake kufanya hivyo.kufuatia hatua hiyo ya mnyika, kamanda jafo alirejea haraka kutoka migodini na kufanya mkutano na waandishi wa habari kueleza kuwa tayari uongozi wa bunge umemhakikishia kuwa atapewa nafasi ya kuwasilisha hoja binafsi hata kama haiku kwenye ratiba hivyo hakuna sababu ya mnyika kupewa nafasi ya kuwasilisha muswada binafsi wa sheria.
Ili kuepusha bajeti ya wizara ya kazi na ajira isikwamishwe na wabunge kutokana na mgogoro wa fao la kujitoa, na kwa kuwa hoja binafsi za wabunge huwasilishwa mwishoni mwa mkutano wa bunge baada ya hoja za serikali na hoja hizo kwa mkutano uliopita ziliondolewa kwenye ratiba; kamanda jafo alipewa fursa ya kuwasilisha maelezo binafsi na spika kuagiza kwamba waziri katika hotuba ya bajeti ya wizara yake azungumze pia maelezo hayo kesho yake.
Spika alichukua hatua hiyo kwa kuzingatia kuwa kwa mujibu wa kanuni za bunge maelezo binafsi hayapaswi kujibiwa wala hayajadiliwi na bunge kwa ajili ya kupitisha maazimio. Katika maelezo yake binafsi jafo alitaka serikali ikubali kuwasilisha muswada binafsi katika mkutano wa bunge wa tisa wa bunge.siku moja baada ya kamanda jafo kuwasilisha maelezo yake waziri wa kazi na ajira alitoa hotuba na kukubaliana na maelezo hayo na kuahidi serikali kuwasilisha muswada kwa hati ya dharura katika mkutano wa tisa wa bunge uliopangwa kuanza 30 oktoba 2012. Baada ya majibu hayo ya serikali, spika alihoji wabunge iwapo wanakubaliana na swala hilo na wabunge wengi wakaitikia kukubali.
Hata hivyo, bunge lilipokaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara hiyo jafo aliipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yake yake huku mnyika akitaka bado serikali itoe maelekezo ya kisera ya kutengua tangazo la ssra ya kusitisha fao la kujitoa ili utaratibu wa zamani uendelee kuwepo mpaka pale muswada wa sheria kwa hati ya dharura utakapowasilishwa kwa kuzingatia kuwa hakuna kanuni iliyotungwa kufuatia marekebisho ya tarehe 13 aprili 2012 na pia marekebisho hayo juu ya fao la kujitoa yalihusu mfuko mmoja tu wa ppf.
Waziri kabaka alimjibu kuwa serikali itatoa muongozo na toka kuisha kwa mkutano huo wa bunge mnyika amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akiendelea kutaka waziri kutoa maelekezo ya kuwezesha fao la kujitoa kurejeshwa huku jafo akizungumza na vyombo vya habari kuipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kukubaliana na hoja yake binafsi na hivyo mgogoro huo kupata ufumbuzi.
Mwanzoni mwa wiki hii mnyika amenukuliwa tena na vyombo vya habari akieleza kwamba amewasilisha kusudio la kuwasilisha muswada binafsi kwa hati ya dharura kama alivyofanya awali baada ya serikali kuonyesha kutoka na dhamira ya kuwasilisha muswada huo kwa hati ya dharura kwenye mkutano wa tisa wa bunge pamoja na kuahidi hivyo bungeni.
Siku chache baada ya mnyika kutoa kauli hiyo jemedari jafo kwa mara nyingine tena alimpiku kwa kueleza kuwa mara baada ya kusudio lake yeye amekwenda kwa katibu wa bunge na kuwasilisha muswada huo kwa hati ya dharura. Kamanda jafo amewaeleza waandishi wa habari kwamba mnyika anadandia hoja yake na kwamba ni yeye anayepaswa kuwasilisha muswada binafsi bungeni.
Kwa mujibu wa habari ya gazeti la uhuru la leo lenye kichwa cha habari mnyika aumbuka, adaiwa kudandia hoja mheshimiwa jafo ameeleza kwamba tayari amepata saini kutoka wabunge kumi wa ccm ili kujiandaa kuwasilisha muswada huo na kumkanya mnyika aache tabia ya kudandia hoja kwa mbele. Ccm imetoa pongezi kwa jafo ambaye zaidi ya hoja binafsi amechukua suala la muswada binafsi la mnyika na kulifanyia kazi ikiwa ni ushahidi wa kuwa mbunge wa chama kinachojali maslahi ya wafanyakazi.
.....ndiyohiyo