Swadaktaaa!!!!Huu ujumbe ufike Chato
Mzalamo huyu alimsuta mtu hadi akazimia. Usikute hili dongo limeelekezwa utosini kabisa.Huko ccm kila mtu kambale sijuwi jafo kamlenga nani.
Zitarudi na kukaa sawa kwa wote.Waziri wa Tamisemi mh Selemani Jaffo amewasihi viongozi wenzake kuacha tabia ya kuinua mabega kujitutumua, jeuri na kiburi kwani kila nafsi itaonja umauti.
Waziri Jaffo amesema hayo wakati wa mazishi ya mkuu wa mkoa mstaafu wa mkoa wa Kigoma hayati meja jenerali Maganga huko Mvomero mkoani Morogoro.
Jaffo alikuwa akielezea wasifu wa RC Maganga kwamba alikuwa ni mtu mnyenyekevu, asiye na majivuno na mwenye kuheshimu watu wengine bila kujali hadhi zao.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hakua mnyenyekev huyo alikua jeuli na kiburi kwa wananch wa kigomaWaziri wa Tamisemi mh Selemani Jaffo amewasihi viongozi wenzake kuacha tabia ya kuinua mabega kujitutumua, jeuri na kiburi kwani kila nafsi itaonja umauti.
Waziri Jaffo amesema hayo wakati wa mazishi ya mkuu wa mkoa mstaafu wa mkoa wa Kigoma hayati meja jenerali Maganga huko Mvomero mkoani Morogoro.
Jaffo alikuwa akielezea wasifu wa RC Maganga kwamba alikuwa ni mtu mnyenyekevu, asiye na majivuno na mwenye kuheshimu watu wengine bila kujali hadhi zao.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo unambishia waziri?Hakua mnyenyekev huyo alikua jeuli na kiburi kwa wananch wa kigoma
Mbio za 2025 zinawatoa akili wengi huko lumumbaHuko CCM kila mtu kambale sijuwi Jafo kamlenga nani.
Pamoja nayeye,mawaziri wamezidi kujipendekeza....wafanye kazi kwa kujiamini maana wameaminiwa