Wacheni kumpa mtu umaarufu wa bure,hivi walper ni nani hapa tanzania bwana?Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, alitangaza kujiunga na CCM rasmi jana.
Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.
Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.
Je Wolper kujiunga na CCM ni kwa mapenzi ya dhati au ni kafata ulaji?
Kwanini akajitangaze kwenye mkutano mkuu wa CCM??
Sipati mantiki ya yeye kujitangaza kwa mkutano ambao lengo kuu halikua lile..
Nawasilisha mada..
Kweli kabisa mkuu nashangaa tunapoteza muda wetu hata kutaja jina la huyo mtu ni kupoteza mudaSeriously kabisa tumajadili Wolper!!?
Angalia tuu maamuzi ya maisha yake ya kawaida halafu uta jaji kama alicho fanya ni kigeni
Anyway nadhan hii uzi ili takiwa iwe ni ya celebrities
Wacha ccm wahangaike na hao wasanii lkn siyo kwa chama makini kama cdm kuhangaikia na mtu kama walper ni kupoteza muda kabisaKwa maoni yangu kisiasa na hasa tunapoelekea 2020 naona swali lako halina tija kwa vyama vya upinzani. Halisaidii upinzani kujitathmini na kujiwekea mikakati mipya ili 2020 iwe na mafanikio zaidi. Afterall, mtu kuondoka chama ni haki yake ya kidemokrasia.
Lamsingi ni kuwa more objective na kujiuliza maswali magumu ya kwanini watu au mtu anaondoka kwenye chama...demotivation ni nini?? etc etc
Kama nyinyi ccm mlivyo mpongeza mrema na cheyo na makapi wengineAkiwa UKAWA mlimpongeza. Kuja CCM mnamponda. Hakika UKAWA ni kama mataahira vile
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, alitangaza kujiunga na CCM rasmi jana.
Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.
Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.
Je Wolper kujiunga na CCM ni kwa mapenzi ya dhati au ni kafata ulaji?
Kwanini akajitangaze kwenye mkutano mkuu wa CCM??
Sipati mantiki ya yeye kujitangaza kwa mkutano ambao lengo kuu halikua lile..
Nawasilisha mada..
huu Uzi mahali lake ni Facebook au innsta huku hatujadili udaku, Huyo anayetajwa hapa wengi hatumjuiMwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, alitangaza kujiunga na CCM rasmi jana.
Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.
Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.
Je Wolper kujiunga na CCM ni kwa mapenzi ya dhati au ni kafata ulaji?
Kwanini akajitangaze kwenye mkutano mkuu wa CCM??
Sipati mantiki ya yeye kujitangaza kwa mkutano ambao lengo kuu halikua lile..
Nawasilisha mada..
Anapigwa 'mti nyama' na kiongozi mmoja wa serikaliPesa pesa
Umemaliza mkuu. Hakuna la nyongezaWasanii wengi wa kike bongo wanasukumwa na nguvu ya ukahaba
Naona waliposena mnyika labda walimaanisha JackMkuu hili ndiyo lile tetemeko au tusubiri lingine?