Jacqueline Wolper arudi CCM

noma sana
 
"Kama biashara anayofanya ina faida poa".
 
Hawa watu lowassa aliokuja nao watapukutika wote!
 
ndio nani huyo?
 
Akili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Anatosha sana.. Km s ktu mbona mlkua mnamtumia? Nny tushawazoea ata dr slaa alvotoka mlsema et n nan kwa ukawa. Sasa subr huyu anaegombea uenyekt wa pwan arud useme tena et n nan
 
Wolper kila siku anavishwa lete na kuolewa haolewi ni msanii hadi kwenye mapenzi na huyo hermonize atachunwa mpaka akijakufungua macho mama yake atakuwa anabonyeza nokia obama na vijoti
 
Watu wa nyumba hii! sijaona hata mtu mmoja akiuliza chanzo cha khabari hii!
 
Akirudi msaliti mtampokea?
tutampokea tu kwasababu chadema hatubagui hata Yesu bado anampenda Yuda na alikuja kuwakomboa wenye dhambi. Tukishika madaraka hata wewe hatutakuwa na kinyongo na hatutalipiza kisas. Nia kuu ya Chadema chini ya Rais wa mioyo ya watanzania wote mzee Ngoyai ni kuleta mabadiliko ya kweli na ya dhat katika kujenga mustakabal thabit na nguzo imara katika taifa letu kwa kuleta wigo mpana katika nyanja tofaut za maendeleo kwa maslahi mapana ya taifa letu. ONE DAY YES!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…