Jacob Zuma achaguliwa kugombania Urais 2009 Afrika Kusini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Habari zilitofikia muda si mrefu mheshimiwa
zuma amechaguliwa kuwania uraisi kwa mwaka
2009 nchni africa ya kusini,,mheshimiwa ZUMA
Amechaguliwa na Halmashauri ya ANC,.........
kwa habari zaidi soma gazeti la mwananchi,,,
hongera mzee tunakusubiri kuipangua kesi
yetu ya rushwa natumaini tutapita,,,,
Jana mheshimiwa alikutana na mkuu MBEKI
jinsi ya kumwachia madaraka ya chama .....
kazabuti kamanda
 
Mzeee tunasubiri kupangu kesi ya rushwa au tunasubiri tuone haki inatendeka? Kama anakesi ya kujibu inabidi aijibu mkuu na si kupangua na aface sheria zannchi. Kama ni msafi then sheria itaamua.
 
Sawa Kaka Ur Vrymuch Correct..lets Pray 4him
 
Ndugyangu pddy umepoteasana ausababu yacorona? Usifanyehivyonduguyangu tunakumisssana mzeewa kuchapiachapia
 
Back
Top Bottom