jiwe la maji JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 1,062 Reaction score 706 Nov 20, 2014 #1 muda huu wakati naandika huu uzi jacob usungu au dj young millioner yuko anashusha vibao katika kipindi chake cha zamani usiku wa millenium swali je amerejea tena au nikwaleo tu? basi afanye na roving dj star tv maana tumekimiss sana
muda huu wakati naandika huu uzi jacob usungu au dj young millioner yuko anashusha vibao katika kipindi chake cha zamani usiku wa millenium swali je amerejea tena au nikwaleo tu? basi afanye na roving dj star tv maana tumekimiss sana
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Nov 20, 2014 #2 alipotelea wapi
jiwe la maji JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 1,062 Reaction score 706 Nov 21, 2014 Thread starter #3 Nantes said: alipotelea wapi Click to expand... jamaa alikua amehamia metro fm ya hapo mwanza
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Nov 21, 2014 #4 jiwe la maji said: jamaa alikua amehamia metro fm ya hapo mwanza Click to expand... ok. metro ni ya nani hv?
jiwe la maji said: jamaa alikua amehamia metro fm ya hapo mwanza Click to expand... ok. metro ni ya nani hv?
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Nov 21, 2014 #5 Jacob always anakimbiza! Yuko juu!
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,439 Nov 21, 2014 #6 Nantes said: ok. metro ni ya nani hv? Click to expand... Bila shaka itakuwa ya shefa wa Nyanza bottling ni mura huyu anaitwa Gachuma.
Nantes said: ok. metro ni ya nani hv? Click to expand... Bila shaka itakuwa ya shefa wa Nyanza bottling ni mura huyu anaitwa Gachuma.
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,129 Reaction score 8,854 Nov 21, 2014 #7 Ana kiduka chake pale sokoni mjini Mwanza ilipokuwa stand zamani ana huduma za Mpesa na kuuza miziki ya zilipendwa
Ana kiduka chake pale sokoni mjini Mwanza ilipokuwa stand zamani ana huduma za Mpesa na kuuza miziki ya zilipendwa