Kuwa kilema haimaaishi uvunje sheria na kupiga watu hadharani
Shame on you.
Huu ni udhalilishaji mkubwa wa wanawake.Tena anatakiwa kuchukuliwa sheria kabisa za kumpiga mtu.Na hawa walioona nitawashangaa kama hawatamchukulia hatua stahiki.Kama ni kiongozi hafai hata kuongoza vyura
Ndio maana provocation ni defense kwenye sheria. Huyo dada alimprovoke jamaa hadi akaprovokika.
Dada anaongea yule hatari. Hata wewe ukiamua kushushua watu usiowajua hakikisha unakeep distance maana utaambulia mateke na sheria isikusaidie..