Angalia post za nyuma utakuta maelezo yaliyojitosheleza kuhusu paypalhabari zenu wakuu,mimi nipo hapa bongo nataka kufungua account ya paypal.. Hivi inawezekana kwa hapa bongo, mwenye nayo naomba anielekeze na jinsi ya kudeposite hela na n.k... Nisaidieni wakuu