Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,873
- 244,430
Wakuu natanguliza salamu , naomba nikiri wazi kabisa kwamba mimi ni msomaji wa makala za huyu mwandishi nguli.
simfahamu wala hanifahamu lakini mtakubaliana na mimi kwamba makala zake zimeifahamisha dunia kuhusiana na siasa za Zanzibar,
iko haja ya kuwatambua waandishi mashujaa wasioogopa vitisho na wasiomung'unya maneno kama huyu , kwa kuwaandalia TUZO MAALUM za heshima kama shukrani kwa mchango wao uliotukuka .
Hongera sana Jabir Idrissa kazi zako zimeonekana .