JAB: Vyeti feki vya Waandishi wa Habari vilivyoletwa Ithibati tunavikabidhi Polisi

JAB: Vyeti feki vya Waandishi wa Habari vilivyoletwa Ithibati tunavikabidhi Polisi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Akizungumza kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Wakili Patrick Kipangula ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) amesema kuna baadhi ya Wanahabari wameweka vyeti feki katika mfumo wa kujisajili ili kupata kitambulisho cha JAB.

Amesema vyeti hivyo vitakabidhiwa kwa Jeshi la Polisiwatakabidhi Vyeti Feki kwa Jeshi la Polisi kwamba kwa waandishi wa habari ambao hawana Ithibati na wakaendelea kufanya uandishi wa habari basi adhabu yake ni hadi kifungo cha miaka mitatu.
 
Pesa hizo sasa zimeelekezwa KULE.
 
Back
Top Bottom