mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Natanguliza shukrani kwa wana wa Jf
Pili nakuombeni na mungu akuwezesheni mumsaidie huyu dada anashida sana ni msichana mdogo alie na umri wa miaka 25 ni mzaliwa wa dodoma mwenye asili ya tanga alikuwepo dar kwa ajili ya kutafuta maisha akajaribu kuomba kazi sana bila ya mafanikio ila akaambiwa na rafiki yake kua mwanza kuna nafasi ya kazi ikambidi afanye safari ya kuenda huko kafika kwa rafiki yake wa kike ila wazazi wa rafiki huyo wamemfukuza na ndio mtu aliemuahidi kibaru kumbe na huyo rafiki yake aliahidiwa na jemba tuu kwa njia ya kutaka kumgegeda naye ila alipomuambiwa binti huyu agawe uroda alikataa na kusema bora akose kazi kama kudhalilika kwa umasikini wake.
Tatizo hana pa kula wala pakulala anatangatanga tu kuangalia sehemu apate japo kibarua afanye kazi ajikimu kwa mahitaji au ammiliki nauli ya kurejea kwao.
Nakuombeni kwa yoyote alie na moyo safi wa kumsaidia huyu bint kwa kijinafasi cha kazi, sehemu ya malazi au nauli ya kurejea kwao amsaidie kwa sasa yuko mwanza katika mazingira magumu pia alie na ushauri unaweza kusaidi.
Akina dada kuweni mstari wa mbele kusairia mwanamke mwenzenu.
Watanzania daima ni waungwana na wakarimu tusifanye utani na hili leo ni yeye kesho ni ww au mdogo wako yanamku