Kwa sisi wakristo na waislamu tuliaminishwa na Mapadre,Wachungaji,Masheikh kwamba mtu fulani ndio chaguo la Mungu.
Kwa mantiki hiyo basi Dr John sio chaguo la Mungu.Je ni kitu gani kitatupata watanzania kwa kuwa na raisi ambae sie chaguo la Mungu?
Tujiulize na tujijibu wenyewe juu ya hili swala maana nahisi laana ya Mungu inatujia according to maneno ya Viongozi wetu wa dini kwa kukiuka mapenzi yake ya kuchagua mtu sie
Hakuna chaguo la Mungu ndani ya CCM kwani kimetawaliwa na wanamfumo ambao ni Wezi,wauaji,Mafisadi na Wazinzi vitu ambavyo ni kinyume na Amri za Mungu
Chaguo langu
Na ukienda CHADEMA huko ndiko Shetani alikoweka kiti chake. Yaani majangaHakuna chaguo la Mungu ndani ya CCM kwani kimetawaliwa na wanamfumo ambao ni Wezi,wauaji,Mafisadi na Wazinzi vitu ambavyo ni kinyume na Amri za Mungu
Yeah. Aende kwa wezi wenzake. Mbowe na Ndesamburo.Kitakachowapata ni matumbo ya kuhara kwa mshtuko mtakapomuona lowasa ndani ya ukawa na urais anachukua na ndio mtajua maana ya mpango wa Mungu
Kitakachowapata ni matumbo ya kuhara kwa mshtuko mtakapomuona lowasa ndani ya ukawa na urais anachukua na ndio mtajua maana ya mpango wa Mungu