J.P Magufuli sio chaguo la Mungu

J.P Magufuli sio chaguo la Mungu

Njanga Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
843
Reaction score
655
Kwa sisi wakristo na waislamu tuliaminishwa na Mapadre,Wachungaji,Masheikh kwamba mtu fulani ndio chaguo la Mungu.

Kwa mantiki hiyo basi Dr John sio chaguo la Mungu.Je ni kitu gani kitatupata watanzania kwa kuwa na raisi ambae sie chaguo la Mungu?

Tujiulize na tujijibu wenyewe juu ya hili swala maana nahisi laana ya Mungu inatujia according to maneno ya Viongozi wetu wa dini kwa kukiuka mapenzi yake ya kuchagua mtu sie
 
Ni Kweli maana Chaguo la Mungu alikuwa
1. Kikwete (By Kilaini)
2. Lowasa (By Gwajima na yule aliyemlinganisha sawa na Mtume)
 
Hao Viongozi wa dini huwa wanajitoa ufahamu tu.
 
Tanzania Hakuna viongozi wa dini ila kuna watafuta hela na wahuni.... Njaa tanzania ilishahamia kwenye vichwa vya watu kwani haipi tena tumboni!!!
 
Hakuna chaguo la Mungu ndani ya CCM kwani kimetawaliwa na wanamfumo ambao ni Wezi,wauaji,Mafisadi na Wazinzi vitu ambavyo ni kinyume na Amri za Mungu
 
Katika kauli ambazo sitaki kuzisikia maskioni mwangu ni hii ya Kuwaita watu chaguo la Mungu.

Mtu apige kazi kwanza ndio tujadili kuona kama nichaguo la nani.
Kwakuwa tumesha patauzoefu wa haya machaguo, nadhani hawa wanao tutangazia kwamba flani ni chaguo la MUNGU wawe na aibu kidogo.
 
Kwa sisi wakristo na waislamu tuliaminishwa na Mapadre,Wachungaji,Masheikh kwamba mtu fulani ndio chaguo la Mungu.

Kwa mantiki hiyo basi Dr John sio chaguo la Mungu.Je ni kitu gani kitatupata watanzania kwa kuwa na raisi ambae sie chaguo la Mungu?

Tujiulize na tujijibu wenyewe juu ya hili swala maana nahisi laana ya Mungu inatujia according to maneno ya Viongozi wetu wa dini kwa kukiuka mapenzi yake ya kuchagua mtu sie

Pia siyo chaguo la ccm
 
Subiri waalikwe chai Ikulu watatoa tamko ila safari hii kwa style nyingine!
 
Kitakachowapata ni matumbo ya kuhara kwa mshtuko mtakapomuona lowasa ndani ya ukawa na urais anachukua na ndio mtajua maana ya mpango wa Mungu
 
Mbona wepes wa kulalamaa, silalami mm maana bado sijamuona rais aliyekalia kiti, holy Bible says ~ njia za Mungu sii za mwanadam na mawazo ya Mungu sii ya mwanadam. So tulizeni mtori jaman nyama ziko chini.
 
Kitakachowapata ni matumbo ya kuhara kwa mshtuko mtakapomuona lowasa ndani ya ukawa na urais anachukua na ndio mtajua maana ya mpango wa Mungu
Yeah. Aende kwa wezi wenzake. Mbowe na Ndesamburo.
 
Njanga Tz.
Kwahyo Kilaini na Gwajima wazushi tu?

Si hzi Mkuu viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu pia na wako tayari kutumika sana kuwasafisha Mafisadi.
Mfano mzuri ni Kilaini mwenyewe pia kuwepo kwenye kashfa ya Escrow.Shame
 
Back
Top Bottom