monoclinic
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 262
- 323
Unajua bhana hizi mambo zinaenda kidiplomasia kuna baadhi ya watu ni wasomi na very active lakini usijaribu wapa uraisi yani wanamaamuzi ya kinywani mno na sometimes inaweza igharimu inchi...
Mfano magufuli, mwakiyembe, mwanrii, lowasa... Naisi wanahasira zaidi sasa nafasi nyeti sidhani... Jarbu kuvuta picha angekuwa lowasa au mwanri pale rwanda au malawi walivyokuwa wakimtusi kikwete kingeshanuka hapa..
##hisia tu not researched