J. Makamba, unahitaji urais au urahisi?

J. Makamba, unahitaji urais au urahisi?

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Kwa siku za karibuni vyombo mbali mbali vya habari vinaripot sana habari za watu mbalimbali kujitangaza au kusimulia nia yao ya kuwania nafasi ya urais na hatimae kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wote tunatambua nafasi ya urais ndo nafasi ya juu kabisa katika uongozi wa taifa letu. Naomba nisiwachoshe na maneno mengi kwani wanajf ni waelewa sana......

Je Watanzania tunataka kumpa January Makamba urais au urahisi wa maisha?

Je kiongozi wa juu kwa kiwango cha rais ni yule anayetaka hiyo nafasi au yule anayetakiwa na wananchi?

Je kwa nchi yenye watu zaidi ya 48m tunakosa mtu mmoja tu mwenye akili, muwazi, mpenda nchi na wananchi na asiyependa makuu tumtake sisi na siyo yeye atake urais?

Je rekodi yake kimasomo imekaaje maana elimu ina umuhimu wake kuongoza japo si lazima ila ni muhimu sana!

Je tunaona aibu kumchukua mtu msomi kama Mwakyembe na kumpa urais walau kwa ule udhubutu alioonyesha anaweza kuonyesha makubwa akipewa nafasi?

Je Makamba anaweza kuja hapa akasema ataifanyia nini Tanzania kabla hata hajahitaka Tanzania impe urais?

Je Makamba anaweza kusema kwa muda aliokaa serikalini alishawahi kuisaidia nini nchi yetu ikatoka sehemu moja na kufika pengine?

Nk, nk, nk...

Changia kwa manufaa ya nchi siyo kwa manufaa ya chama chochote. Matusi utoka kifuani mwa --------.... Je wewe nawe
!!!
 
Kwa akili yako ya swaumu kali. kati ya January M. na Sitta . Wasira na Membe na yule baunsa kwenye ATM unaona nani walau ana mvuto wa kukaa magogoni. Si bora JM mara elfu tatu kuliko baunsa wa atm aka ngelecha
 
Ulivosema tumtake sisi na sio yeye atake urais umekosea... Lazima autake kwanza afu sisi ndio tumtake au tumkatae, kama tunataka mtu awe rais afu hataki its the same thing or even worse maana atakua na kisingizio kua mlimtaka wenyewe

Ulivosema pia elimu ni muhimu lakini sio lazima ulikosea... Elimu ni LAZIMA, mtu asiye na elimu hawezi jua dunia inavokwenda, kuna competition kubwa sana duniani hatuwezi ongozwa na mjinga, toka nje tembelea developed countries utaona how things operate, anahitajika mtu mwenye akili ya kutosha kuweza kuangalia kila sector na akajua solution..

Hayo ya nani apewe ntayafikiria mwakani uchaguzi ukianza, hata hatujui nani atagokbea sasa hivi tunaloongea zitakua speculations tu nothing more.. Ila kuhusu swala la umri wangelifix hata vijana wadogo wagombee, i find them more competitive kuliko hawa wazee....
 
Anaweza kuja kuwa rais mzuri lakini bado anahitaji muda na kupikwa zaidi! Kinachonitia hofu ni kuwa ana damu ya kijani
 
Huyo mtoto anafanya mzaha. Anafikiri kujua kuchonga maneno ndio mtu anaweza urais. Anajua kuzungusha maneno kama baba yake. Wanaccm asilia hawajasahau jinsi ccm ilivyoshuka maadili wakati wa ukatibu wa baba yake.
 
Kwa siku za karibuni vyombo mbali mbali vya habari vinaripot sana habari za watu mbalimbali kujitangaza au kusimulia nia yao ya kuwania nafasi ya urais na hatimae kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wote tunatambua nafasi ya urais ndo nafasi ya juu kabisa katika uongozi wa taifa letu. Naomba nisiwachoshe na maneno mengi kwani wanajf ni waelewa sana......

Je Watanzania tunataka kumpa January Makamba urais au urahisi wa maisha?

Je kiongozi wa juu kwa kiwango cha rais ni yule anayetaka hiyo nafasi au yule anayetakiwa na wananchi?

Je kwa nchi yenye watu zaidi ya 48m tunakosa mtu mmoja tu mwenye akili, muwazi, mpenda nchi na wananchi na asiyependa makuu tumtake sisi na siyo yeye atake urais?

Je rekodi yake kimasomo imekaaje maana elimu ina umuhimu wake kuongoza japo si lazima ila ni muhimu sana!

Je tunaona aibu kumchukua mtu msomi kama Mwakyembe na kumpa urais walau kwa ule udhubutu alioonyesha anaweza kuonyesha makubwa akipewa nafasi?

Je Makamba anaweza kuja hapa akasema ataifanyia nini Tanzania kabla hata hajahitaka Tanzania impe urais?

Je Makamba anaweza kusema kwa muda aliokaa serikalini alishawahi kuisaidia nini nchi yetu ikatoka sehemu moja na kufika pengine?

Nk, nk, nk...

Changia kwa manufaa ya nchi siyo kwa manufaa ya chama chochote. Matusi utoka kifuani mwa --------.... Je wewe nawe
!!!

Kaona urahisi ni kitu cha kawaida tu, atuambie mudA MFUPI ALIOKAA WIZARA YA MAWASIIANO KAFANYA NINI? HAWA WATU SASA WANAONA URAHISI NI KAMA MDOLI TU ETI EH? AMA KWA VIE DINGI ALIKUWA KIONGOZI NAYE LAZIMA AGOMBEE? UKIISHIA KUWA MBUNGE PIA INATOSHA. AANIKE SERA KWANZA TUZIONE MAANA HATUTAKI MTU WA KUKIBEBA CHAMA TUNATAKA MTU WA KUWABEBA WATANZANIA MASIKINI NA RASIIMALI ZAO
 
Baada ya kuwa Naibu Waziri kwenye wizara ambayo anashindwa kuisimamia, sasa anatakka Urais! Ni ajabu na kweli.
 
Tena Tumpe PROF MUHONGO Crocozilla Eti Dreson4 Mambo ya Elimu ni MUHIMU Maana Tunaweza Mkabidhi Mangungo Hii NCHI !
 
Last edited by a moderator:
Yeye amejitangaza tumemsikia ni nani mwingine? wapinzani tunaweza kujua nani na nani watasimama.

Upande wa chama tawala ndio hakueleweki wanaotajwatajwa hawajajitokeza kama Makamba ili kuwapa watu fursa ya kuwatathmini. naungana na mjumbe hapo juu wajitangaze wenyewe tuwatathmini ilhali bado mapema.

Hongera makamba kwa kuthubutu, na wengine wajitokeze
 
Kwa akili yako ya swaumu kali. kati ya January M. na Sitta . Wasira na Membe na yule baunsa kwenye ATM unaona nani walau ana mvuto wa kukaa magogoni. Si bora JM mara elfu tatu kuliko baunsa wa atm aka ngelecha

wote hawafai
 
Ibradehustler,
Umenena vema. Mimi sina bifu lolote na Makamba, najua pia hanijui! Najua cv yake kielimu si nzuri. Kumbuka Watanzania tuna ugonjwa wa kihalaiki!!!!! Wataanza kama utani utani mwisho tunaongozwa na Mangungo! Akili kichwani.
 
Kwa siku za karibuni vyombo mbali mbali vya habari vinaripot sana habari za watu mbalimbali kujitangaza au kusimulia nia yao ya kuwania nafasi ya urais na hatimae kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wote tunatambua nafasi ya urais ndo nafasi ya juu kabisa katika uongozi wa taifa letu. Naomba nisiwachoshe na maneno mengi kwani wanajf ni waelewa sana......

Je Watanzania tunataka kumpa January Makamba urais au urahisi wa maisha?

Je kiongozi wa juu kwa kiwango cha rais ni yule anayetaka hiyo nafasi au yule anayetakiwa na wananchi?

Je kwa nchi yenye watu zaidi ya 48m tunakosa mtu mmoja tu mwenye akili, muwazi, mpenda nchi na wananchi na asiyependa makuu tumtake sisi na siyo yeye atake urais?

Je rekodi yake kimasomo imekaaje maana elimu ina umuhimu wake kuongoza japo si lazima ila ni muhimu sana!

Je tunaona aibu kumchukua mtu msomi kama Mwakyembe na kumpa urais walau kwa ule udhubutu alioonyesha anaweza kuonyesha makubwa akipewa nafasi?

Je Makamba anaweza kuja hapa akasema ataifanyia nini Tanzania kabla hata hajahitaka Tanzania impe urais?

Je Makamba anaweza kusema kwa muda aliokaa serikalini alishawahi kuisaidia nini nchi yetu ikatoka sehemu moja na kufika pengine?

Nk, nk, nk...

Changia kwa manufaa ya nchi siyo kwa manufaa ya chama chochote. Matusi utoka kifuani mwa --------.... Je wewe nawe
!!!

udhubutu ndio kitu gani hicho ndugu!?
 
jamani january anayo sifa kubwa ya kuwa rais wa tz nayo ni kuwa amewahi kukaa Marekan! hivyo anazo tabia zote za kimarekan!
 
Amekua kama njiwa kuja kuangalia kama maji yamekauka au laa,ss tusubiri safina itie nanga tutajua tuu nani na nani ndo wanautaka urahisi
 
bonge ya point. halafu January ni kabila langu. acha na sisi tule nchi
alaaa kwanza weweuna ukabila heti january ndugu yako ! Pili nadhani nyie mnataka urahisi na sio urais yaani urahisi wa kufanya mambo yenu mkipata pia nakushangaa unataka kula nchi ule au nchi ndio ikulee angalia sana kupenda kulakula utaliwaaa
 
Hiyo ni zuga tu raisi anamjua Jk na kamati kuu

Kwa taarifa yako dogo ndio chaguo la JK. Hukumbuki kila JK alivyokwenda Maheza nguu lazima asalimie kwa akina JM. baba ke JK na babu yake JM walikua mabest.

Babake JM NA JK walifanya kazi pamoja kama mwenyekiti na katibu mkuu. bado tu hujaona konexion ? Jm alikua special assistant wa JK. Kufeli mtihani wa form 4 si hoja. uanzia sasa anza kumuheshimu rais wako mtarajiwa bw. Ma nyuzi
 
Back
Top Bottom