J. Makamba, Sumaye, B. Membe hamuwaoni, Kwa nini Lowassa?

IamPrince George

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
412
Reaction score
168
WAKATI WAGOMBEA WENGINE NDANI YA CCM WANA MLALAMIKIA LOWASSA HEBU TUJIULIZE HAYA MASWALI....

January Makamba amechapisha vitabu vyake na kugawa kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu, mbona Lowassa hakulalamika?

January Makamba alinunua Simu za Gallaxy Sumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbe wa baraza UVCCM ZANZIBAR.

January 2013 alipokusanya marais wa vyuo vikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel na kuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoe tamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassa hakulalamika?

Membe amekuwa akipendelea Wafuasi wake kwenda kusimamia chaguzi Kama waangalizi wa Sadc, mbona Lowassa hajalalamika?

Membe kanunua mabasi kwa baadhi ya makanisa, mbona Lowassa hakulalamika...?

Membe amekuwa na kawaida ya kuplant wagombea kama strategy yake na kuingilia Chaguzi nyingi kanda ya ziwa mbona Lowassa hajalalamika...?

Membe alipohudhuria tamasha la wasanii Mwanza na tamasha la extra vaganza (la wasabato) na kujipigia upatu mbona Lowassa hakulalamika?

Mwigulu alikuwa akitembea na mabango ya kuonyesha watu wakimuomba agombee mbona Lowassa hakulalamika...?

Mwigulu pia kaandika mawe karibu yote kila barabara TZ nzima mbona Lowassa Hajalalamika...?

Na mwandosya pia amekuwa akitumia Wanafunzi wa Vyuo Vya Mbeya na juzi wamemuombe agombee Mbona Lowassa hajalalamika...?

Mbona Pia Prof Muhongo anaombwa na umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Kilimanjaro, Arusha na Kanda ya Kaskazini mbona Lowassa hajalalamika.?

Sumaye mwezi december alipozunguka makanisa yote, Mbeya, Dar, na Mwanza kwa ajili ya kujitangaza mbona Lowassa hakulalamika?....
 
Na LOWASSA anawaumiza kichwa, nadhani wanatamani hata angekuwa mkenya ili wamuundie zengwe la Uraia, ila kwa kuwa ni mtu makini wala hatetereki
 
Hakika sijaona watu wanafiki kama wana ccm wenzangu huyu makamba amegawia wavitabu yake uchwara nchi nzima amegawia masimu kisa haaminiki anajifanya msafi hiki chama bora kife maana kimekosa mwelekeo
 
Nini msukumo wa Watanzania kwa LOWASSA?
man of action ; akikutana na Kiongozi mzembe basi wanamalizana naye hapo hapo - nafikiri hii ndiyo kete ya huyu Mh. anayoingia nayo kwa watanzania.

Swali: Je ataweza kukabiliana na ukiritimba, Udokozi na umangimeza wa watendaji wabovu ndani ya Serikali wakati yeye mwenyewe akiwa mmoja wao??

Anaweza kuziba matundu ya boti yasiingize maji akiwa humo humo ndani ya boti na boti ikiwa safarini???

Hapa ndipo nafasi ya UKAWA inapokuja ndani ya mawazo ya watanzania.
 
Kumbe mnamkubali kiaina enh..hehe
 
always Lowasa ni strategic man hana haraka,hana papara hana kelele yeye anawanyoosha watu chinichini..nakila wanavyo msakama ndivyo wanavyo muongezea upepo na wafuasi zaidi...

no body can stop this war..Time for Lowasa(2015)
 
Kinachoonekana ni kuwa Edward ni hatar zaidi au ana nafasi kubwa sana ya kukiwakilisha chama ndani na nje ya chama cha mapinduzi hivyo kupelekea wagombea wengine kuwa na mipambano miwili kuelekea urais (mpambano dhidi ya Edward na mpambano dhidi ya uchaguzi mkuu)
 
Jana Makamba alikua mbagara,anatoa nae fedha ,tatizo lowasa kawazidi kiwango
 
maswali ya msingi kabisa.......tatizo hawatakujibu japo najua January, membe,wassira wote wana watu wao humu........kiufupi tu ni kuwa lowasa hana mpinzani ndani ya CCM maana wote ni ukoo wa panya wanafanya tu kuzidiana maujanja.
 
Uwezo wa kusimamia watendaji na taifa letu anao LOWASSA pekee, ndiye mwenye uthubutu wa kusema hiki sitaki na ww umefanya hivi kaa pembeni
 
WOOTE NDANI ya ccm wanaomlalamikia LOWASSA ni wapuuzi

hamna ambaye hajaanza kampeni za chini kwa chini, hamna ambaye anaweza kujiita hana doa.

wamezidiwa mziki wa LOWASSA sio masihara,

Sumaye hana doa. Hata kwenye ufisadi hatujamsikia. Kwa uchapa kazi wawaulize Mzee Mwinyi na Mkapa ni nani alikuwa jembe lao. Ofisini mpaka saa 6 usiku.Hana makundi na huko makanisani alikuwa akialikwa na hotuba zake ni za kukemea ufisadi. Yeye mwenyewe ni mkulima na mfugaji wa kisasa. Ni mtu aliyetulia.CCM watuletee huyo wanaweza kupambana na Ukawa.
 
WAKATI WAGOMBEA WENGINE NDANI YA CCM WANA MLALAMIKIA LOWASSA HEBU TUJIULIZE HAYA MASWALI....

January Makamba amechapisha vitabu vyake na kugawa kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu, mbona Lowassa hakulalamika?

January Makamba alinunua Simu za Gallaxy Sumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbe wa baraza UVCCM ZANZIBAR.

January 2013 alipokusanya marais wa vyuo vikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel na kuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoe tamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassa hakulalamika?

Membe amekuwa akipendelea Wafuasi wake kwenda kusimamia chaguzi Kama waangalizi wa Sadc, mbona Lowassa hajalalamika?

Membe kanunua mabasi kwa baadhi ya makanisa, mbona Lowassa hakulalamika...?

Membe amekuwa na kawaida ya kuplant wagombea kama strategy yake na kuingilia Chaguzi nyingi kanda ya ziwa mbona Lowassa hajalalamika...?

Membe alipohudhuria tamasha la wasanii Mwanza na tamasha la extra vaganza (la wasabato) na kujipigia upatu mbona Lowassa hakulalamika?

Mwigulu alikuwa akitembea na mabango ya kuonyesha watu wakimuomba agombee mbona Lowassa hakulalamika...?

Mwigulu pia kaandika mawe karibu yote kila barabara TZ nzima mbona Lowassa Hajalalamika...?

Na mwandosya pia amekuwa akitumia Wanafunzi wa Vyuo Vya Mbeya na juzi wamemuombe agombee Mbona Lowassa hajalalamika...?

Mbona Pia Prof Muhongo anaombwa na umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Kilimanjaro, Arusha na Kanda ya Kaskazini mbona Lowassa hajalalamika.?

Sumaye mwezi december alipozunguka makanisa yote, Mbeya, Dar, na Mwanza kwa ajili ya kujitangaza mbona Lowassa hakulalamika?....

Wote wanafanya ila Eddo anawazidi ila CCM ni majanga mnavyozitembeza huo uzalendo na maadili yapo wapi? Team Membe lile basi ulilopeka Tabora mbona wenzako hawasemi? Team January aka Mzee wa 40qns wale vijana uliowakodi wakuandike kwenye mawe ni sawa?
 
Hakika sijaona watu wanafiki kama wana ccm wenzangu huyu makamba amegawia wavitabu yake uchwara nchi nzima amegawia masimu kisa haaminiki anajifanya msafi hiki chama bora kife maana kimekosa mwelekeo

Makamba anyamaze kabisa kwani babayake karibu akiangamize chama. Tena yule Mzee alikuwa Hana aibu kabisa ukienda kwako umebeba begin anakuuliza Leo imebeba shillingi ngapi. Ukionyesha nia ya kugombea ubunge watendaji Wa Chama jimboni wanakuuliza je umejiandaa vizuri? Unazo shilingi 10,000,000/=

Kipindi hicho ndiyo watu makini wasiyo penda rushwa majina yao yalikatwa. Hata wale waliokuwa Wa safi wakageuziwa kibao kuwa ndiyo wala rushwa pale walipo peleka malalamiko kwenye Chama. Leo hii January hawezi kujitenga na hili. Asijidai msafi ajifunze siasa kwanza.

Tunamshukuru Mungu sana tena Sana Kwa ujio Wa Kinana. Chama chetu kimetulia tena. Na uteuzi Wa nafasi mbalimbali bila Shaka utakuwa mzuri na wakuvutia.
 
Hakika sijaona watu wanafiki kama wana ccm wenzangu huyu makamba amegawia wavitabu yake uchwara nchi nzima amegawia masimu kisa haaminiki anajifanya msafi hiki chama bora kife maana kimekosa mwelekeo

Mwalimu,ondoka huko ccm maana wanawaona nyie ngazi,mie pia naamini hakuna wa kumzuia Lowasa huko ccm lakini hakuna msafi toka ccm,jiunge na wakombozi wa UKAWA
 
Back
Top Bottom