Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,768
- 2,156
🚮🚮
🚮Tuseme nini, huna hoja kijana.
🚮Tuseme nini, huna hoja kijana.
Kuchagua kutoelimika ni uamuzi wako.🚮🚮
🚮
Kama huwaoni wanaowaingiza wake zao bungeni halafu kula na kina Harbinder Singh, basi we upuuzi umekulemea na ni sehemu ya maisha yako.Mbona nyerere baada ya kustaafu kutwa kucha alikuwa anaitisha press na alikuwa anaingilia mchakato wa wagombea wa ccm, ila hakuna aliemwona yuko kila sehemu, kweli aliwaroga wabongo pamoja na kututia umasikini wa kuvaa viraka, leo hii hata wa vijijini hakuna anaevaa viraka....
Nyerere hakutuletea uhuru mpuuzi yule, bali alijitwisha hio dhana ndio maana kila aliemshtukia alimfunga au kumfuza nchini...
So kwakifupi hata hauna idea unachobishana ni kitu gani ila unachojua ni kwamba hautaki kusikia mtu anasema jambo lolote negative kwa Kikwete.Unataka kuniambia mimi au wewe tuna uchungu na taifa hili kuliko JK aliyekuwa rais wa TZ kwa awamu mbili?.
Kuwa mstaafu Kikwete hakutuondelei matatizo mengi ya kila siku ya kwenye maisha yetu. Mungu ndio amepanga iwe hivyo, kwamba 2025 august Kikwete awe hai na Samia awe ikulu.
Hasira za kitoto za kumshambulia JK kana kwamba yeye ndiye chanzo cha taabu tunazokutana nazo hazitusaidii kwa namna yoyote ile.
Usingemjibu. Kuna wamezaliwa kujaza nafasi za ujinga ambazo zinabakia wazi kila siku watu wanapokufa. Huyo ni mojawapo. Mpotezee tu afe na ujinga wake.Kama huwaoni wanaowaingiza wake zao bungeni halafu kula na kina Harbinder Singh, basi we upuuzi umekulemea na ni sehemu ya maisha yako.
Naunga mkono hojaMheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio wapa backing kundi la Boyz II Men ni kina Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz na wengine.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Boyz II Men, ambapo JK alishinda kinyang’anyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandao miaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublackmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
Salim Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Salim Ahmed Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amefisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi aliowaona ni kizingiti kwake au waliomkosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikitika sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Itoshe kusema huna akili wala adabu, tunakupuuzaMbona nyerere baada ya kustaafu kutwa kucha alikuwa anaitisha press na alikuwa anaingilia mchakato wa wagombea wa ccm, ila hakuna aliemwona yuko kila sehemu, kweli aliwaroga wabongo pamoja na kututia umasikini wa kuvaa viraka, leo hii hata wa vijijini hakuna anaevaa viraka....
Nyerere hakutuletea uhuru mpuuzi yule, bali alijitwisha hio dhana ndio maana kila aliemshtukia alimfunga au kumfuza nchini...

Umesomeka msukule....
Hakuna Askofu mkuu wa jimbo asiyejulikana ,Majimbo makuu hayafika tisaMheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio wapa backing kundi la Boyz II Men ni kina Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz na wengine.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Boyz II Men, ambapo JK alishinda kinyang’anyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandao miaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublackmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
Salim Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Salim Ahmed Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amefisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi aliowaona ni kizingiti kwake au waliomkosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikitika sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Lakini mna uhakika na yoooote haya?!!!!!!!Kikwete wakati wa uongozi wake aliacha utendaji wa aina yake.
Imetosha sasa.
Anakoelekea si kuzuri sana, na heshima iliyopo aliyojijengea kwa miaka mingi, kitaifa na kimataifa, itaanza kuporomoka muda si mrefu.
Ushahidi wa mke wake na watoto wake kuingizwa kutengeneza dynasty ni fundisho tosha.
Napinga kunyooshea kidole kiongozi mstaafu kwa nia tu ya kumpinga. Kikwete anao mchango wake kwenye ustawi mzima wa Tanzania hivi ilivyo, haulazimishwi kukubaliana na fikra hizo ni uamuzi wako lakini ndio ukweli wenyewe.So kwakifupi hata hauna idea unachobishana ni kitu gani ila unachojua ni kwamba hautaki kusikia mtu anasema jambo lolote negative kwa Kikwete.
Nani kasema hana mchango?Napinga kunyooshea kidole kiongozi mstaafu kwa nia tu ya kumpinga. Kikwete anao mchango wake kwenye ustawi mzima wa Tanzania hivi ilivyo, haulazimishwi kukubaliana na fikra hizo ni uamuzi wako lakini ndio ukweli wenyewe.
Unaweza kuweka ushahidi hadharani ili tuhuma zako ziwe na mashiko?. Hizo ni chuki za kipuuzi tu.Nani kasema hana mchango?
Hata Osama bin laden ana mchango kwenye jamii somewhere.
Kwani ina maana wewe hujui Kikwete anatuhumiwa kwa tuhuma zipi na kama unazijua naomba uziweke hapa bayana?🤔
Acha uongo na chukiUkimkosaoa Kikwete kuna kikosi kimeundwa kusema ni udini
labda kama huna ubongoAcha uongo na chuki