J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.

Pamoja na kwamba kile chuo ni cha dini, lakini inabidi wapunguze misimamo yao.

Mi namfahamu Prof mmoja alilazimika kuacha kazi pale baada ya kuhoji juu ya wanafunzi na walimu kulazimishwa kuvaa hijabu (wanawake), regardless kama waislamu au sio, na kulazimishwa kushiriki katika swala zote za waislamu...
 
Simshauri mtu akasome pale, awe muisilamu au mkristu. Chagua chuo bora, halafu tafuta kozi fupi fupi za kidini kama unataka. Hivi kwa mazingira yetu, iweje mtu upoteze muda wa miaka mitatu kusoma B.A with Islamic Studies? Au unataka kuwa imamu forever?

Haya mambo mengine mnayopost kusema ukweli ni ujinga wa kutoijua vizuri dunia.

Na kimsingi hoja za namna hii huku kwa wenzetu hakuna, inadhihirisha kuwa watu wako idle sana tz kiasi kwamba wanapata muda wa kufikiria upumbavu na kuwaambia watu ndio ukweli.
 
Pamoja na kwamba kile chuo ni cha dini, lakini inabidi wapunguze misimamo yao. Mi namfahamu Prof mmoja alilazimika kuacha kazi pale baada ya kuhoji juu ya wanafunzi na walimu kulazimishwa kuvaa hijabu (wanawake), regardless kama waislamu au sio, na kulazimishwa kushiriki katika swala zote za waislamu...
Hili kama linafanyika ni kosa, kwa sababu kimsingi hakuna kulazimishana katika dini na ibada haiendi kwa shuruti ila kwa nasaha kwani ikifanywa kwa shuruti inakuwa ni ya machoni ambayo haina msaada wowote kwa aifanyayo.

Na vile vile ieleweke kuwa kwa mujibu wa Qur'an, ujumbe unaweza kuwa ima ni kwa Watu, waislam au waumini. Hayani makundi matatu tofauti.

Kama watu wa MUM wapo humu, tunawaomba hili waliondoe haliko katika mafundisho ya uislam.
 
Hili kama linafanyika ni kosa, kwa sababu kimsingi hakuna kulazimishana katika dini na ibada haiendi kwa shuruti ila kwa nasaha kwani ikifanywa kwa shuruti inakuwa ni ya machoni ambayo haina msaada wowote kwa aifanyayo. Na vile vile ieleweke kuwa kwa mujibu wa Qur'an, ujumbe unaweza kuwa ima ni kwa Watu, waislam au waumini. Hayani makundi matatu tofauti. Kama watu wa MUM wapo humu, tunawaomba hili waliondoe haliko katika mafundisho ya uislam.

nimependa mtazamo wako! Hope Ally Kombo atajifunza
 
Last edited by a moderator:
Wakati wao wanafikiria kujitanua mikoa ya Pwani the Holy Church ilishaweka chuo siku nyingi mno Mtwara..


Upeo finyu wa fikra! hili ni jukwaa la Elimu na sio jukwaa la kidini! watu kama nyie ndo mnaopigwa vita.
 
Kauli ya raisi inalenga kutilia mkazo kile kilicho bora wakiendeleze.

Ila zuzu asiye tafakari anacoment ujinga ambao wala hauhusiani
 
We mbwa !
Jiwe ni jiwe tu na jiwe haliwezi kufanya mbingu na ardhi !
Labda sanamu yako !

ni vema umetambua kuwa jiwe haliwezi kuumba mbingu na ardhi na kwa kuwa allah ndiye jiwe la kaaba ambalo huwa unalifuramia mara tano kwa siku basi hawezi kuumba chochote .
 
modes mnalea huu upuuzi... Haya mambo ya udini mwisho wake sio mzuri kwa wote..
 
ni vema umetambua kuwa jiwe haliwezi kuumba mbingu na ardhi na kwa kuwa allah ndiye jiwe la kaaba ambalo huwa unalifuramia mara tano kwa siku basi hawezi kuumba chochote .

We mbwa !
Jiwe haliumbi mbwa kama wewe ! Bali ni Allah SWT
Qur'an: 2:255.
 
Vyuo vyetu tunasoma sis wenyewe peke yetu tena kwa iman kali, Vyuo vyao tunasoma wote tena iman huru na kuheshimiana.

(GT- Igeuze sentens)

Vip kuhusu hilo, Mzee hajashaur chochote huko..?

ha ha ha ha mkuu we kiboko nimetumia karibia dk mbili kufikiria ulikuwa unamaanisha nini nilipoelewa nimecheka sana duh kweli fumbo mfumbie mjinga,,,, dah
 
wenye dini zao wamekaa kimya huko tangu lini africa tuwe na dini za waarabu na wazungu na sisi eti ndio tumezishika sana hayo ni mapokeo tu, rudini kwenye dini zetu za asili lol.

Dini dini, hao waliwaletea hizo dini huku wakiwauza utumwa na kuwahasi ma.p.u.m.b.u yenu ili msizaliane ovyo huko mnakoenda leo hii ndio tumeishikilia bango kuwa mimi dini yangu ndio ya maana, ni upuuzi africa tunatakiwa tufumbuke macho tujadili vya kwetu sisi sote ni wamoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom