Kosa lilitendeka pale Magamba walipokaidi kauli ya Mwalimu, kuwa huyu jamaa &quot;hajakomaa&quot; na kama Mwalimu angekuwepo angesema hivyo kila baada ya miaka mi5 kwani hakui, hakomai na hatakomaa.<br />
Kosa lilitendeka. JK hakupaswa kuwaongoza WaTZ, alipaswa kibakia kijiweni kupigishana kelele na washikaji zake. Masikini TZ! Miaka 10 mengine imepotea bure!