Walid Mchimae
Member
- Mar 25, 2018
- 12
- 5
Moja ya album bora kabisa za Hip Hop mbaka sasa kwa mwaka 2018. Production on point & carefully structured. Cole na flow ya hatari ndani ya mzigo huu mpya huku akiwa Na maudhui ya hatari ikiwa pamoja na kuendelea kutetea nafasi ya mtu mweusi ktk jamii..
He crucified all the new wave rappers on 1985.. Ukitoa Victory Lap ya Nipsey Hussle nadhani hii KOD ni ya pili kwa ubora mpaka sasa kwa mwaka 2018. ColeWorld
He crucified all the new wave rappers on 1985.. Ukitoa Victory Lap ya Nipsey Hussle nadhani hii KOD ni ya pili kwa ubora mpaka sasa kwa mwaka 2018. ColeWorld