Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!

Nasisi hatuwaletei haraka sasa hayo majina. Hahaaaaaa
Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!
kuchukua tahadhari ni muhimu. CCM walishawahi kufanya Zenji huu wizi!
Inawezekana kabisa.
Tena ikawa kazi ya siku mbili kama wakiamua.
Unagawa timu ya watu 10 kila kata nchi nzima.
Kila diwani ateue watu wake wa kukagua hivyo vituo then anaripoti kwa mbunge then mbunge anawasilisha majina ya vituo vyote jimboni kwake makao makuu ya chama.
Na hata ujumlishwaji wa kura mbunge kupitia diwani wanakagua jumla ya kura kwa vituo vyote walivyovikagua.
Kama kuna kituo kimeongezeka inabidi vitolewe ufafanuzi.
mnahangaika bure tu! hivi mnaamini watanzania watanunua huu uhuni wenu. mnafikiri nyie wajanja sana wengine mafala..usaliti ushenga ukuwadi porojo utabiri wa manabii feki gwajima et al. yote hayo kuingiza fisadi dhoofu kiafya ikulu ili mkapige dili.Tunawaomba wana UKAWA na viongozi wote wa UKAWA mdhibiti suala hili;
- Hakikini vituo vyote 65000 kituo kwa kituo kwa kuvikagua katika maeneo yote vilipo nchi nzima!
- Baada ya kuvikagua vipeni identity numbers vituo vyote 65000 vitakavyotumika kwa upigaji kura Tanzania yote!
Utaratibu huu utasaidia sana katika kuvichuja 'vituo batili au feki' vinavyotaka kuongezwa na wahuni wachache ndani ya mfumo.
Vituo vile ambavyo ndivyo vilivyopewa identity number ndivyo pekee vitakavyoruhusiwa kuwasilisha matokeo for special identity keys.
Ninashauri zoezi hili lianze mara moja kwa viongozi wa UKAWA baadhi yao kulikalia rohoni na kuhakiki.
Nawasilisha..