Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Kama chadema ikamsimamisha Dr.Slaa kuwa mgombea urais 2015,mabadiliko yakafanywa kwenye daftari la kupigia kura.
Uchaguzi ukawa wa haki na huru.
Je ni mgombea gani toka vyama vingine au CCM anaweza kupambana naye???maana sioni mtu kushindana naye labda uchaguzi usiwe huru na wa haki.
Uchaguzi ukawa wa haki na huru.
Je ni mgombea gani toka vyama vingine au CCM anaweza kupambana naye???maana sioni mtu kushindana naye labda uchaguzi usiwe huru na wa haki.