Ivona Kamutu wa Star tv

Ivona Kamutu wa Star tv

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,492
Reaction score
5,345
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
 
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!

Anaitwa Ivona Raymond Kamuntu!! Kwa nini analinga?? Ulishawahi kutana nae,ukampa Hi hakujibu!!
tuambie analonga kivp
 
...sijamuelewa alivyocheka baada ya vijana kusema kucheza show kunawaingizia kipato,nimeona kawadharau,sijui kama nimetafsiri vibaya...
 
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
 
Back
Top Bottom