ivo 1-0 kaseja...the sagga continua

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
1,195
Hakukuwa na haja ya Yanga kumsajili Kaseja kwa kuwa walikuwa tayari wana kipa mwingine, Ivo, ambaye naye ni top class, hiyo hela iliyotumika kwa usajili wa Kaseja ingeweza kutumika kwa usajili wa wachezaji wa ndani. Naona kama huu ulikuwa ni usajili wa kukomoana na kuonyeshana jeuri tu.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,948
2,000
na viwanja vingi vya soka hapa nchini viko chini ya milki yao but kuviendeleza wanashindwakwa nini visirudishwe serikalini?

serikali ndo itaweza kuvitunza?Si bora wabinafsishe tu wameshindwa kutunza ndege ya Rais mpaka inagongwa ndo wataweza kutunza viwanja?
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,677
2,000
Weweeeeeeeeeeeee, CCM every where,huyo anayemwaga mahela jangwani si alipigwa chini kuwa mbunge wa Kigamboni?,aliyewahi kuwa meneja wa jangwani huko nyuma akaishia kuwa mbunge wa Cuf huko kigamboni si alipiga U turn na kurudi CCM,yule jamaa aliyewahi (RIP) kuwa mbunge wa Kilombelo zamani si alitokea Jangwani,orodha ni ndefu sana,ukija msimbazi,profesa si mbunge wa ccm, au yule doctor bingwa wa mifupa wa Ukuryani si mbunge wa ccm. Au umesahau Tyson alikuwa mbunge wa ccm,au huyu dogo aliyekandamizwa jela na kuachiwa,huna habari kuwa alikuwa anataka kugombea ubunge kupitia ccm.
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,399

ok turudi kwenye mada je ivo na kaseja je we uko wapi?
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,399
2,000
haya wakuu leo game na vitalo kadaka kaseja na yanga wameshinda 2-0 je matokeo yetu yatakuwa ivo 1-1 kaseja au?
mnyonge mnyongeni
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
10,013
2,000
..............kaseja anajuta kwenda yanga ...kwa sababu kiukweli ..haipendi yanga ..kama anavyosema mwenyewe kafuata pesa....cha pili ni kuwa ameondoka simba ambako alikuwa akiheshimiwa kwa miaka 6 ...kama kipa chaguo namba moja....na kipenzi cha mashabiki....ameenda yanga ambako kazi ya kwanza ngumu inayomkabili ni kujenga imani kwa mashabiki wake wapya.....natabiri mwisho wa kaseja.......

leo kipa aliyechukua namba yake simba ,AMANI simba...ameonekana kumudu mchezo hasa baada ya aliyekuwa akitegemewa kuwa simba namba 1....barthez...kufungwa kirahisi na TUSKER...ni wazi...kuwa simba ni nyumbani kwa makipa na ma strike wazuri ....akitoka dhahabu anakuja almasi.....

kaseja leo alikuwa uwanjani na wenzake wa yanga na alionekana myonge...tofauti na enzi zake simba ambazo zilijaa raha...ni wazi kuwa pesa kapata lakini na kazi anayo.........kama hautakuwa mwisho wake ..mwakani ataomba kurudi simba hata bure....maana mkataba wake na yanga ni mwaka mmoja tu!!!!
Throw back
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom