Nina rafiki yangu mmoja wa kike yeye baada ya kuingia chuo na kupata company nyingine hata kuchat kukapungua.
Mie kila nkijitahidi kumaintain urafiki kwa kuchat na vitu kama hivyo, text mbili anajibu "K"
Mtu mzima nikapangusa namba yake nashangaa juzi anatuma text "Prince niazime kama 50000 kesho nakurudishia.
Hapo tuna miezi kadhaa ya bila mawasiliano.
Namie kwa mbwembwe kabisa nikajibu "K" then nikampotezea.
Inakera sana jinsia ya kike na haya majibu. Bora ukae kimya tu tujue umepotezea au upo busy umeshindwa kujibu