ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,259
Uyu jamaa tangia amekula uteuzi ktoka kwa magu amekuwa mkimya sana
Je nini kimemkuta ama nini kinamfanya akae kimya maana wateule wenzie wako bize kusaka kick na majina kupitia vyombo vya habari na matukio ya kila siku kupitia vyeo walivyopewa na raia no moja wa nchi yetu
Ama ni jamaa kasoma alama za nyakati na kuamua kufanya kazi kimya kimya ili mafanikio yake ndo yaje kupiga kelele!
Mwenye habari za Patrobas katambi atujuze