mi nilikuwa nampigia pande bwana Wakati ndik sasa ili angalau mama watoto wangu charminglady apate bedrest yake kwa amani wakati siku zinajisogeza, sasA mlengwa hata habari, naona mr. mkiva kamuibukia Elizabeth Dominic kwa kasi 4G, ndo kusema new tamthilia imeanza au ni ka documentary kafupi tu
mi nilikuwa nampigia pande bwana Wakati ndik sasa ili angalau mama watoto wangu charminglady apate bedrest yake kwa amani wakati siku zinajisogeza, sasA mlengwa hata habari, naona mr. mkiva kamuibukia Elizabeth Dominic kwa kasi 4G, ndo kusema new tamthilia imeanza au ni ka documentary kafupi tu
Kijana naona una uelekeo wa ku sail kwenye uncharted waters.........................kwani ebu nieleze wewe unacheza nafasi gani kwenye hii tamthilia ambayo umeiandika, umeiproduce, umeidirect halafu ukaiedit?
Salama uko uliko? Wanaume wabaya...............yaani amekusafirisha ukajifungulie kijijini?...........lolme yangu majicho tu, akha babu eeh sitaki kujipa presha bure nikasababisha miscarriage!!!!!
Seriously I need to know you,Na mshawasha huo nimejikuta nikiupata toka nilivyosoma kuwa wewe ni Verified User and who knows.....
Like how?....................God knows....................he is watching you........he he
Its a very difficult question to answer in front of hungry alliens..........
You should've known better to put it here in open...............you know where to go........
nini kinaendelea hapa??
hao wanawindana kidogo kidogo haoooo mnawaona wambea wenzangu jamani haooo.Its a very difficult question to answer in front of hungry alliens..........
hao wanawindana kidogo kidogo haoooo mnawaona wambea wenzangu jamani haooo.
Mbona hujanitaja mie niliyembikiri? Afu si unajua mtalaka hatongozwi eh...
siku hizi anatongozwa tena kwa dau kubwa kuliko la awali!
kumbe rafiki na wewe ni mgeni hapa Yerusalemu kama mimi?nini kinaendelea hapa??
kumbe rafiki na wewe ni mgeni hapa Yerusalemu kama mimi?
haya ngoja tuiangalie tu hiyo tamthilia kama alivyoshauri Smiling Saint
me yangu majicho tu, akha babu eeh sitaki kujipa presha bure nikasababisha miscarriage!!!!!