Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 747
- 640
Naomba tukutane KAWE club kesho kuanzia saa kumi jioni.Hali ikiwa shwari hata mzee mkjj anaweza kuwepo gud day.
Naomba tukutane KAWE club kesho kuanzia saa kumi jioni.Hali ikiwa shwari hata mzee mkjj anaweza kuwepo gud day.
Wazo zuri, lakini Kawe Club saa 10 jioni kwa wafanyakazi itakuwa ngumu. Wengi ofisi zao ziko mjini na wanatoka kazini saa 11. Sehemu muafaka ya kukutana ni katikati ya mji, au maeneo ya Upanga!
Pendekezo: 1. Post Club aka Brake Point ya Mjini
2. Salender Bridge Club
3. Savanna Lounge - Mafuta House
Kwahiyo Makutano wapi tujiweke sawa
Salender Bridge Club is ideal, japo kuna mbu wengi sana ila tutavumilia tu! Au mnasemaje wadau?
Tutabeba dawa za mbu haya saa ngapi
mm natoka job sa 11 so mafoleni na nn ni mpaka sa 11.30 ntakuwa nimefika sijui wenzangu
poa poa!jamani my dear si usome hapo juu?yap tunakutana salenda leo 11.30 jioni plz dnt miss
jamani my dear si usome hapo juu?yap tunakutana salenda leo 11.30 jioni plz dnt miss
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.
WAJEMENI,
Pearl, Nguli, Geoff, Masaki, Jeni, Xpin, ...na wengine
Hii habari iliishia wapi?, hakuna chochote kilichopatikana, nini mustakabali wake?...
ngoswe mpz soma thread iliyoandikwa furai dei utapata majibu ya maswali yoteeeeeeeeeeeee