Mimi nafikiri; Sababu kubwa ni kwamba, kutokana na Sheria zao Jeshini za kukaa miaka kadhaa bila kuoa, askari wetu inawalazimu kutafuta sehemu za kupumzika na kupata utulivu, na kwa asilimia kubwa dada zetu wengi walioko vyuoni pindi Boom linapochelewa kutoka kwakweli utawaonea huruma jinsi wanavyohangaika (kumradhi: Nimeweza kushuhudia hili mara kadhaa kwa dada zetu wa UDOM), nafikiri kwa wakazi wa Dodoma wanaweza kuwa mashahidi ktk hili. UDOM nimetolea mfano tu.
Kwahiyo mjeda anahitaji kupunguza Glucose mwilini na mdada naye anataka kuongeza Glucose mwilini, wakikutana na mambo mengine yanaanzia hapo.
Baada ya kumaliza chuo na kupata hiyo degree, anakuwa tayari AMEKOLEA kwa MJEDA au anakuwa AMECHAKAA inamlazimu kuendelea na huyo mjeda.