dah! Nilikuwa na mauchungu ya kifo cha shemeji. Mi pia nimekuja kutoa stress. Mzima wewe?
mzmaa,pole xana!
dah! Nilikuwa na mauchungu ya kifo cha shemeji. Mi pia nimekuja kutoa stress. Mzima wewe?
Unamwandikia hivi ktk simu: "n 3^07 ! -- unashangaa! Hebu weka simu juu chini usome tena. Naomba majibu."