Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Bill Gates ana USD billioni 90 hana kitambi, Mohammed Dewji ana USD billion 1.3 hana kitambi, Mark Zuckerberg ana USD billion 54 hana kitambi, Amancio Ortega ana USD billion 74 hana kitambi, Aliko Dangote ana USD billion 16 hana kitambi. Ila wewe na kamshahara kako ka 478,400 huwezi hata kutembea kwasababu ya likitambi lako au ndo afya au unaumwa?!