Ivi ingekuwaje pale mtu kafunga ndoa tu na hisia zake zinakatika zinaamia kwa mwenza wake tu. Au ingekuwaje hisia za mapenzi zinakuja tu pale unapokutana na mwanaume/mwanamke sahihi kwa maisha yako na si mwingine yeyote yule?