Kwa maoni yangu na hali ilivyo napendekeza iundwe mamlaka au chombo chochote kitakachopewa jukumu pamoja na mengine kutatmini ubora wa hoteli pamoja na kudbibiti bei hasa ya vyakula na malazi.
Kwa wale ambao wanatumia sana hoteli hasa wawapo safarini kikazi au kwa shughuli zingine mtagundua kwamba hoteli nyingi hasa kwa dar es salaam zinatoza gharama kubwa sana tena kwa dola za kimarekani lakini huduma haziendani kabisa na gharama husika.
Mfano mdogo kbsa ni palm beach ambapo wanatoza USD 85 na gharama ya chini ni USD 50 lakini vyumba vyake ni afadhali hoteli ya sh. 40000. Huu ni mfano mmoja na ipo mingine mingi.
Serikali liangalieni hili