ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

Mpanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
785
Reaction score
441
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati
 
kosa la itv ni nn sasa hapo? wao wameripot kama habari zingine.....
 
Kweli kabisa, nimeona kwenye taarifa ya habari, ITV saa mbili, This is not fair!!!
 
Mnaboa sana kwa hili mbona habari zake mnatangaza sana kwani hamna habari zingine.kwani mnatangaza team lowasaa kila siku bila kukosa km mmenunuliwa kwa pesa mseme.jirekebisheni.
 
ni kweli nami nimeliona mda mwingine huwa halihusiani kabisa Lowassa lakini utakuta wanakwepesha kimakusudi ili Lowassa ili mada ya Lowassa iingie
 
Mnaboa sana kwa hili mbona habari zake mnatangaza sana kwani hamna habari zingine.kwani mnatangaza team lowasaa kila siku bila kukosa km mmenunuliwa kwa pesa mseme.jirekebisheni.
Bosi wao atakuwa ameahidiwa Kitalu cha gas, si bure
 
Na wewe fungua kituo chako cha TV umpe promo unayemtaka..
 
babu anataka kitalu,ngoja tuone kama atapewa,naomba MUNGU kabla ya kikwete kuondoka atie sain mikataba ya muda mrefu ili hili babu likose.
 
Mnaboa sana kwa hili mbona habari zake mnatangaza sana kwani hamna habari zingine.kwani mnatangaza team lowasaa kila siku bila kukosa km mmenunuliwa kwa pesa mseme.jirekebisheni.

We kichwa chako kibovu kweli, unataka sasa wakupe promo wewe? Kenge mumaji
 
Roho inawauma siyoo eeh!! Basi tumpigie promo zitto aliyeendakupeleka umbea kwa raisi anajidai anapenda watu wa umma panya kabisa
 
Mnaboa sana kwa hili mbona habari zake mnatangaza sana kwani hamna habari zingine.kwani mnatangaza team lowasaa kila siku bila kukosa km mmenunuliwa kwa pesa mseme.jirekebisheni.

Khaaa,aisee mijitu mingine bana,ulitaka watangaze za mkeo?
 
Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati
Acha u hovyo hovyo kama zzk
 
Hahahahaha...kumbe hata humu ipo mijitu mijinga???hivi kuna kosa gani ITV kurusha habari zinazomhusu lowassa??kweli huu mwaka watu watajiua kwa wivu..watu wakimtaka lowassa kwenu ni kampeni...teh! teh!
 
Kama Nikweli Ngoja 'Nape' Apite Hapa Auone Huu Uzi Lazima White Hair Kimnukie!
 
Back
Top Bottom