Ni kama wanakauchonganishi flan kati ya wananchi na serikali yaoKatika taarifa ya habari iliyosomwa jana usiku saa mbili na kurudiwa leo asubuhi ITV imeripoti kuwa hata nyumba ambazo zilikuwa maeneo ya juu ambazo hazijawahi kukumbwa na mafuriko nazo zimebomolewa.
Taarifa hii wameipata kwa kuwahoji waathirika pekee bila kuwahoji wasimamizi wa ubomoaji kama zina ukweli wowote au ni malalamishi yasiyo na msingi.
Kwa mtazamo wangu nadhani walipaswa kuwahoji na wasimamizi wa bomoabomoa ili kupata habari iliyokamilika vizuri.
ITV kurusha taarifa kama hii kwa upande wangu naona kama ni kudhoofisha bomoa bomoa inayoendelea kwa kuwa itaonekana kama ni zoezi ambalo halikufanyiwa utafiti wa kina kujua ni nyumba zipi zinapaswa kubomolewa hivyo kuonekana kama serikali ilikurupuka na inachofanya ni uonevu kwa baadhi ya watu.
Naomba kuwasilisha.
Asante sana Muumba was mbingu akuzidishie utajiri ulio nona na sisi wa mabondeni aturudishe mavumbini tuliko toka AminaHapa kazi imekuwa haps kilio tu, ila serikali ina nia ya dhati kuokoa maisha yenu maana kipindi cha mafuriko tunapoteza nguvu kazi kubwa kutokana na mauti yanayoikumba jamii ya mabondeni na pia huwa mnatia hiruma sana sasa sijui kwa nini hamtaki kuondoka mnaleta lawama mwingine ataniuliza tutaenda wapi na mimi namwambia nenda ulikotoka. Serikali haitavumilia tena kwenda kuopoa maiti kwenye maji tena na kutuchafulia mabonde ambayo ndio njia kuu ya maji kipindi cha mvua nyingi.
Strongest one.weak argument
Mtu anaishi mkwajuni anafanya kazi ya kuuza vitu vidogo vidogo Posta...mtoto wake anasoma magomeni we unampeleka Mabwepande alafu unamuwekea nauli ya magari 1400.
Hivi kwa akili yako unadhani ITV wataonesha mema ya Serikali ya Magufuli? Unamjua mmiliki wa ITV? Ni nani na anatoka wapi?
Mkuu kwa hili tusipende kushangilia walisema wataboboa nyumba zilizomo ndani ya mita60 kutoka kwenye kingo za mito sasa kwa jinsi ulivyofuatilia hivyo ndivyo wanavyofanya au kwa sababu magufuli anashangiliwa kuna wengine wanatumia nafasi hiyo kumfitinisha na wananchi?Hivi kwa akili yako unadhani ITV wataonesha mema ya Serikali ya Magufuli? Unamjua mmiliki wa ITV? Ni nani na anatoka wapi?
How!Katika taarifa ya habari iliyosomwa jana usiku saa mbili na kurudiwa leo asubuhi ITV imeripoti kuwa hata nyumba ambazo zilikuwa maeneo ya juu ambazo hazijawahi kukumbwa na mafuriko nazo zimebomolewa.