Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,457
Kwa waliotazama habari ya saa mbili usiku huu atanielewa. ITV kwanza wameanza kumwonyesha Mh. Mbowe akiomba msamaha bungeni halafu akafuatia wa CUF,ilhali haikuwa hivyo bungeni! pili,hawakumwonyesha Mh. Mbowe akiongelea hoja ya msingi kabla ya kuomba msamaha,wameaanda ka clip ambacho Mh. Mbowe, kwa ambaye hakuangalia bunge hatamwelewa anaongea nini, lakini wa CUF alirekodiwa vizuri tu! ITV vipi? TBC flan?
Duu hii ishu hata mimi imenistua maana najifikilia kama ITV wataendelea na upumbavu wao sijui nitahamia chombo gani cha habari, TBC niliachana nao mda mrefu kwa upumbavu kama huu ambao wameuanza ITV siku za hivi karibuni