Itv wame edit picha -kigoma


Ndg kwa kukusaidia bora jinyonge ufe maana huko tuendako utaumia sana na cdm
 
Hiyo ndiyo picha ya mkutano halisi wa leo pale Kigoma Kasulu kabla ya kutawanya. Basi wewe linganisha uliyoona ITV na picha ya mng'ato uone km wame edit.
 
Watu Walikuwa wengi balaa, duh! Kumbe Majitu Maongo humu JF, ahxante ITV Kuwaumbua leo...
 
kalale au leo hujapata buku 7!

ukweli cku zote unaumiza lakin maamuzi mazito huwa ni ishara ya ushindi lakin inategemea unaamua wapi tuliowategemea watukomboe wametusaliti, tulio wapa nafasi ya ukombozi wametugeuka mtanzania amka mabadiliko yako mikononi mwako mwenyewe achana na wana siasa lengo lao ni kujaza matumbo na nakuondoka
 
Umejeruhiwa wapi,hata povu likutoke hivyo??
 
si rahisi kuedit video ya watu wanaomove randomly km unavyodani.
 
Umejeruhiwa wapi,hata povu likutoke hivyo??
 
Mkutano uliharibiwa na vijana wasiozidi kumi na tano

kias kilichopelekea polis,kuwakamata hali iliyopelekea purukushani

waliobeba mabango n vijana wasiozidi 15
 
Kwahiyo kinacho kuuma kuona watu wengi mno.---- kweli we!Wakiwa wengi au wachache ina kusaidia nini we mjinga wa akili
 
Mabom yote hayo ni kwa sababu uwingi wa watu kwenye mikutano ya Dr.Ange kuwa anapata watu wachache wasinge mtolea mimacho hivyo.Slaa ni hatari kweli kwa maccm.Watu wanampenda sasa mtafanyanini?
 
Mtukane mkatae, Watanzania wameona mlivyoishiwa damu.

Kila mtu kaona mlivyofulia.

Poor saccos from Moshi.
 
Watu Walikuwa wengi balaa, duh! Kumbe Majitu Maongo humu JF, ahxante ITV Kuwaumbua leo...
Maongo sana mkuu.Dr anafunika acha kabisa.Aendelee hivyo hivyo mbaka maccm ya kome kukodi watu.Sijui wanapata wapi hela za kukodia.Lakini mkuu waache wanampromot.mti wenye matunda ndiyo hutupiwa mawe.
 
Tutaachaje wakati maneno yako hayo ni unafiki mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…