Itv wame edit picha -kigoma

Mbona hamkubali M4C nichama makinu na pendwa hakuna cha kuedit hpod
 
Ha ha ha ha ha ha ha...yani mlivyo na akili uharo, mara mseme kuwa wale watu wengi walienda ili kuleta vurugu, sasa mnasema walikuwa wachache. Kweli CDM inawachanganya. Hiyo ndio CHADEMA, nawaasa wana KIGOMA na hasa hawa vijana wanaoandamana kuwa ni wakati sasa kuandamana juu ya umaskini wa mkoa wao badala ya kuandamana dhidi ya Dr Slaa na Mbowe.
 

Kama umemaliza jisaidie haja ndogo kapumzike wenda ubongo ukakaavizuri kama hauja pata majeraha makubwa
 
sipo katika ccm ila watu si wengi kule mkuu

Video tumeziona ,pia picha tumeziona ktk mitandaoa mbali mbali na ktk vyombo vya habari kama ITV.Ni lazima wadau tukushangae kutoka huko ulikotoka na kuamua kupotosha kwa makusudi,ni vizuri ukajiuliza maswali mengi kabla ya kuamua jambo fulani...
 
mtajibeba huu mwaka mmemuabisha zitto bure kwa kumuahidi kuwa mtafanikisha mikutano haifanyiki kwa kukosa watu, mara maandamano, mara mmeanza kurusha mawe kabisa,,,,pwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,weka picha zako unazozitaka

mkuu picha halisi kulingana na mazingira watu sio wengi kiviile !
 
usiwaone wakina zemarcopolo, sixgates, lizabon, simiyu yetu wanahangaika humu na ww unakurupuka!! wenzio wanalipwa, we poteza muda ss!

mkuu sipo kimaslahi na nimeshajieleza hapo

picha zile haziendani na uhalisia mkuu
 
wapi nabîi Steven Wasira wa kifo cha chadema?
 
Tuwekee picha zako ulizozipiga basi ili tuuone ukweli!!!!!!
 
huna lolote ! vijana wadogo sana mnakalia majungu tu , kama wewe na akili zako unaweza kuwa mfuasi wa zitto , unadhani kuna unachokipigania kweli ? itakuwaje zitto akihamia ccm , kama inavyotarajiwa ? wewe utaenda wapi? kuwa huru kijana usiburuzwe tu , NIMEKUDHARAU SANA !
 

mkuu usipende kumeza kila kitu picha ya mabomu wamekimbia watu kidogo

je watu kumi wanaweza kufunga mkutano?
 
Its possible ww si mnafiki tu, you are more than hypocrite, why are you trying to justify your feelings with such a stupid writings, tuzilaumu media zetu kwa mambo ya msingi si uchonganish
 
pole sana ila usimwage chozi,.

Ukweli ndio huo umeshawekwa hadharani!!

sina tatizo na chadema ndugu ila vyombo vya habari hapa wanipoteza kabisa
 
mkuu usipende kumeza kila kitu picha ya mabomu wamekimbia watu kidogo

je watu kumi wanaweza kufunga mkutano?

Dogo hebu tuwekee picha ambazo hazijaeditiwa unatuboa sasa, huna picha kaa kimya!
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.

inaelekea unatamani kuwa mchaga habari ya ukabila achana nayo angalia hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…