Watu wengi wanazo hizo station za discover channel na jerry springer majumbani kwao, na wa vijijini hawana Tv.
Subject Topic yako mods waki ielewa tu, unapigwa BAN.

mie Napendekeza kwa MODS kuanzia sasa wanaojiunga Jamii Forums wawe wanafanyiwa japo Usaili kidogo kujua IQ zao.
How Do we define Great Thinkers and still some people here comes with Rubbish Threads like this one

Ahsante kwa kuniofahamu ,kuna vijitu humu JF mtu akiandika tu,wanamkimbilia MODS eti afute ,aondoe ,tatizo vijitu hivi vinaonyesha vina asli ya kutawaliwa haviwezi kuona umuhimi wa kujitosheleza bila ya kuhitaji misaada ,mi nashangaa sana watu hawa.ni TV zoote nchini zinaonesha programs za mabwana zao. wanasema wameingia ubia.
nadhani ni ufinyu wa vitendea kazi na uhaba wa fikra ndo maana wanafanya yote hayo.
acheni uchoko.
ni TV zoote nchini zinaonesha programs za mabwana zao. wanasema wameingia ubia.
nadhani ni ufinyu wa vitendea kazi na uhaba wa fikra ndo maana wanafanya yote hayo.
Babu tuliza jazba wakati wa kuchapa unakosea sana spelling halafu post inapoteza mvuto. Kiswahili lugha...ya Taifa mkumbuke hivyo punguza typo.Ahsante kwa kuniofahamu ,kuna vijitu humu JF mtu akiandika tu,wanamkimbilia MODS eti afute ,aondoe ,tatizo vijitu hivi vinaonyesha vina asli ya kutawaliwa haviwezi kuona umuhimi wa kujitosheleza bila ya kuhitaji misaada ,mi nashangaa sana watu hawa.
Yaani mnakuwa kama watu wa ajabu inakuwaje kuwaje mnaiungisha ITV na CNN au BBC ,naona huu ni uzezeta na kijidhalilisha ,mbona wao huko hawaiunganishi ITV na BBC au CNN nina wasiwasi hata hawajui kama kuna station inaitwa ITV ,sioni sababu kama ni kwa watanzania basi wengi wanazo hizo station majumbani na kwa walio vijijini hata hawaelewi kunazungumzwa nini ndani ya BBC na CNN ,yaani kama kuungisha basi mungeliweza kuonyesha Discovery Chanel wakatuonyesha natural za mambo mbali mbali ambayo huenda kwa kuangalia tu wangeweza hata kufungua akili. AU mngetuwekea Jerry Springerz !!!:thinking:
Babu tuliza jazba wakati wa kuchapa unakosea sana spelling halafu post inapoteza mvuto. Kiswahili lugha...ya Taifa mkumbuke hivyo punguza typo.
Yaani mnakuwa kama watu wa ajabu inakuwaje kuwaje mnaiungisha ITV na CNN au BBC ,naona huu ni uzezeta na kijidhalilisha ,mbona wao huko hawaiunganishi ITV na BBC au CNN nina wasiwasi hata hawajui kama kuna station inaitwa ITV ,sioni sababu kama ni kwa watanzania basi wengi wanazo hizo station majumbani na kwa walio vijijini hata hawaelewi kunazungumzwa nini ndani ya BBC na CNN ,yaani kama kuungisha basi mungeliweza kuonyesha Discovery Chanel wakatuonyesha natural za mambo mbali mbali ambayo huenda kwa kuangalia tu wangeweza hata kufungua akili. AU mngetuwekea Jerry Springerz !!!:thinking:
Ritatizo riko parepare. Hiro rikingereza watarierewa.???
Yukanti teli zhem to shoo diskavari chaneli insitedi,disikavari chaneli izi ini Inglishi tuu. Teli zemu tu transileti iti ini kiswahili fo everi bodi tuandastendi.
Hiii hii oza pipo saa?!!