ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
Cha msingi hiyo habari ilisomwa...kama isingalisomwa ningechangia..

Kwa utaratibubwa uandishibwa habari, habari ya kwanza ni muhimu zaidi kuliko habari inayofuata. Una hiyari ya kukubali hilo au kulikataa. Hata magazeti habari muhimu kuliko zote ni ile iliyo ukurasa wa kwanza kwa maandishi makubwa
 
Chanel 10 na ITV ndio peke yao hawako biased. Star TV na TBC wako kishabiki zaidi, zimekaa ki Ccm, Ccm
 

wewe utakua wa kanda ya ziwa
 
Nimeona leo taarifa ya habari ITV saa mbili jioni imeanza na habari ya Rais kuongea na wafanyabiashara kisha ikafuatiwa na habari ya PM kutembelea port na Railway Co. Hapa nimeona priority na flow inayostahili. Ndio sababu hawajaanza na taarifa ya MP. Hii ina maana yake.
Good job ITV, the super brand.
 

mianawaka mingine ikiwa ktk siku zao shidaaa,kinyaa kabisa
 
Kwa utaratibubwa uandishibwa habari, habari ya kwanza ni muhimu zaidi kuliko habari inayofuata. Una hiyari ya kukubali hilo au kulikataa. Hata magazeti habari muhimu kuliko zote ni ile iliyo ukurasa wa kwanza kwa maandishi makubwa

kwa hiyo hata mwandishi akaweka front page jinsi mama yako alivyobakwa na kukuzaa wewe ni sawasawa?
 

Ndo umeandika nini sasa hapa?
 
umekula maharage ya wapi

Nimekwambia nilikuwa bar auliza maharage? Bar kuna soup, beer, wine, whisky, soda, makange etc. kama na maharage yapo sio bar niliyokuwepo.
Endelea kula maharage siulizi ni ya wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…