ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
Kuna haja gani habari yake iwe ya kwanza? kwanza katuzibia riziki ya matangazo ya siku ya Uhuru, siku ya Ukimwi unadhani tuna hamu nae tena?
 
Duh! mijitu mingine bwana,mbona hujalalamika jana mh.Majaliwa kuonyeshwa muda mrefu?
 

kumbuka Mengi alipozomewa na wana CCM .. hii ni kutokana na kituo chake hasa ITV kutumika katika propaganda za kumdhoofisha mh. Rais JPM
 

Hiyo siyo tv ya taifa
 
kumbuka Mengi alipozomewa na wana CCM .. hii ni kutokana na kituo chake hasa ITV kutumika katika propaganda za kumdhoofisha mh. Rais JPM

Ilikuwa mihemuko ya hao wana CCM
 
Kwa Kuwa Umesema Ulikuwa Umeshapiga Maji, Acha Tukusamehe Tu.Naamini Hapa Unaropoka Kuhusu Itv Ila Hii Ndio Superbrand Ya Muda Wote Mpaka Unazikwa.
 
wewe ni kipofu au una shida flani..jana habari ya kwanza itv ni ya magufuli kumsimamisha yule kigo na ya pili ni waziri mkuu kwenda bandari na kutimua vigogo
 
Una tatizo la kiakili. Kama sio ITV tungelipata wapi yalojiri duniani. Twajua kuwa mliwahi kushauri hii TV ifungiwe sasa naona unakuja kijanja janja. Poleee, sio weye mwenye hekima wapo wengine wengi tu lakini hawaoni mantiki yako. Acha wivu wa ke
 

Anzisha kituo chako cha Tv uwe unamtangaza kwa umuhimu wako tangu asubuhi mpaka jioni.
 
Nafikiri ni muhimu kuwa objective kidogo. Inawezekana habari ikawa muhimu sana lakini isifanywe ya kwanza licha ya kuwa kwenye muhtasari ndio iliyoonekana kubeba habari zote.
Mimi sio mwandishi ila nilichojifunza kwa ozoefu kuna wakati habari hiyo hucheleweshwa makusudi ili kuwafanya watu waendelee kuitazama chaneli husika kwa kuwa watakuwa na shauku ya kupata habari kuu. So wakati mwingine ni mkakati tu wa chombo cha habari kwakuwa wanaweza kuionesha na baada ya hapo watu wakabadilisha chaneli na kupotea kabisa.
Hata hivyo inaweza kuwa ni utaratibu wao tu bila au kwa sababu zozote wazijuazo wao ila nafikiri tusichukulie kila jambo kimtizamo hasi.
 

Usiforce mkuu,
Hicho ni kituo binafsi wanahiari na jinsi ya kutoa habari.

Kumbe Bade kafukuzwa kazi kwa sababu ni ukawa??
 

Mkuu hata mm niliinote hiyo, yaan zile point zote alizoongea pale bungeni hazikuonyeshwa badala lile neno alilosema kwa utani kuwa "ukawa ni watoto wakikua wataacha" lilirudiwa kama mara tatu hv.
 

Hoja yako haina logic yoyote kama habari husomwa tatizo liko wapi ??

Je unadhani usomwaji na mpangilio wa habari unategemeana na habari kutoka mahala fulani na MTU fulani ??

Je unadhani utashi na usomaji wa habari vyombo vyote hufanana??

Kuna uhusiano gani habari kusomwa ya kwanza Katikati au ya mwisho kiuandishi ??

Hivi habari inayohusu vifo au ajali ya moto na hotuba ya rais ipi ni habari hot ??

Kama hotuba iliyosomwa kuna wabunge walitoka nje na ikaruhusiwa kusomwa na rais hakujali hilo la kutoka kwa wabunge unajenga picha gani ya hiyo habari na je ulitegemea itokaje ??

Tumia vigezo vingne vya kukosoa chombo chochote na si upangaji wa taarifa ya habari

Kama ungekuwa mfatiliaji wa hilo jambo basi tuletee Star TV Uhuru na TBC vs UPINZANI
 
tatizo jamaa amekariri kuwa habari yoyote inayomuhusu rais au makamu lazima iwe ya kwanza. yote hy ni tactics za utangazaji. hata waandishi wa vitabu anaweza akaanza kusimulia hadithi mwisho then akarudi mwanzo na akamalizia katikati. pia nakushauri mkuu usitegemee chombo kimoja kupata habari kuwa mpekuzi channel ziko nyingi
 
Jman superbrand namba moja ...ni ITV hawako bais ka ma Tbc...ccm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…